PICHA: Hili jengo linalojengwa Kariakoo kwa PPP ni balaa ni zaidi ya Mlimani City unaambiwa Serikali itajizolea zaidi ya TZS 2.5bn kila mwaka

2.5 b ni sawa kwa mwaka kwa jengo moja. Acha majengo mengine yaongezwe mtapata hela yte hiyo mnayotaka..
Kwa maduka hayo 900. Almost kodi kwa mwaka itakusanywa 5. Something. Hvo. 2.5 kipindi cha ujenzi na ongezeko kipindi kazi rasmi imeanza sio tatizo.
Hofu yangu ni huko floor ya 5-10 watapanga watanzania gani, ziwe nyumba labda au ofisi. Otherwise.. hamna mfanyabiashara atapanga kuanzia floor ya tano aweke fremu never tena kkoo.
Kuhusu ukubwa yes, eneo linalojengwa hilo ghorofa ni kubwa.. almost tutakua na kfc tutakua hata na samaki samaki pale kkoo msimbazi siku moja.
Hili jengo yes, wamelipatia kuliweka hapo.
 
Unahoja
 
NHC inajenga Ubia na nani?
 
Hongera sana Rais Samia
 
Mungu ibariki Tanzània yetu na Rais wetu
 
Asante Mama Samia
 
Hongera Kafulila
 


Tatizo leo Watanzania hatujui kuongea kibiashara. Yaani maelezo ya siasa na uchawa hata mtu akisoma na kusikiliza hawezi kujua hata mradi ni wa nini? Ili mradi ufanikiwe ongeleeni mradi mkiongelea kusifia tu wakati mradi ni wa binafsi bado ni utamaduni wa kizamani wa kijamaa! Mfano kama ni Mall ongeleeni hilo 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ hata wasomi wetu ni machawa jamani 😔
 
Hii Sasa sawa
 
Safi sana Mama Samia
 
Hongera sana PPP
 
Hongera sana PPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…