YEHOVA
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 223
- 307
Wewe ungeweza kufanya hivyo?Hiyo hela labda kwa mwezi ndiyo ingeanza ku make sense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ungeweza kufanya hivyo?Hiyo hela labda kwa mwezi ndiyo ingeanza ku make sense.
Kwani mimi serikali?Wewe ungeweza kufanya hivyo?
Nazungumzia kama wewe ungekuwa ni huyo mfanyabiashara ungewezi 2.5bn kwa siku?Kwani mimi serikali?
Kwani nani kasema 2.5 billion kwa siku?Nazungumzia kama wewe ungekuwa ni huyo mfanyabiashara ungewezi 2.5bn kwa siku?
Acha maneno2.5bn kwa mwaka bado ni pesa dogo kwa Kariakoo mzalendo Kafulila anasemaje
Huu wako ni uchochezi2.5bn kwa mwaka bado ni pesa dogo kwa Kariakoo mzalendo Kafulila anasemaje
Unahoja2.5 b ni sawa kwa mwaka kwa jengo moja. Acha majengo mengine yaongezwe mtapata hela yte hiyo mnayotaka..
Kwa maduka hayo 900. Almost kodi kwa mwaka itakusanywa 5. Something. Hvo. 2.5 kipindi cha ujenzi na ongezeko kipindi kazi rasmi imeanza sio tatizo.
Hofu yangu ni huko floor ya 5-10 watapanga watanzania gani, ziwe nyumba labda au ofisi. Otherwise.. hamna mfanyabiashara atapanga kuanzia floor ya tano aweke fremu never tena kkoo.
Kuhusu ukubwa yes, eneo linalojengwa hilo ghorofa ni kubwa.. almost tutakua na kfc tutakua hata na samaki samaki pale kkoo msimbazi siku moja.
Hili jengo yes, wamelipatia kuliweka hapo.
Jengi litakuwa na gorofa 6 na sio 10 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCLoFmwsVED/?img_index=5&igsh=MWhyZzI1dHp5ejQ3Yg==
Pili wa kupongezwa ni Samia aliyeridhia Mabadiliko ya sheria ya Ubia Ili kurahusisha uwekezaji,hao wengine ni Watendaji tuu.
Mwisho uwekezaji wa Ubia unaendelea maeneo mbalimbali ya Dar mfano NHC inaendelea na ujenzi hapo Dar.
Pia NHC inaendelea na ujenzi wa majengo ya biashara ya Ubia mjini Iringa,Arusha nk.
Hongera sana Rais Samia
Hatimaye PPP ya David Kafulila iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria namba 103 ya mwaka 2010 na kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2014, 2018 na 2023 sasa rasmi imeanza kuzaa matunda chanya kwa manufaa ya Watanzania hasa baada ya kuanza kutumika kwa marekebisho mapya ya Sheria hiyo ya mwaka 2023 ya Sheria hiyo Namba 103.
PPP kwa kumtumia mbia mzawa toka kampuni ya Tosh Logistics Limited wanajenga jengo kubwa huenda ikawa ni zaidi ya lile la Mlimani City kwa gharama ya TZS 36.7bn wakati matumizi yatagharimu kiasi cha TZS 13.3bn litakalokuwa na wapangaji zaidi ya 900 lenye ghorofa 10 kwenda juu.
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Centre Bw. David Kafulila ameiambia kamati ya Bunge ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuwa Dar es Salaam City Council's Economic and Development Corporation (DDC) katika wakati wote wa Ujenzi wa mradi huo kila mwaka watajizolea kiasi cha TZS 2 bilioni na baada ya mradi huo kukamilika watalipwa kiasi cha TZS 2.5 bilioni kama kodi ya jengo tu bila kuhesabu kodi za TRA pamoja na shuru zingine mbalimbali lakini kubwa zaidi baada ya muda wa mkataba kuisha jengo hilo litasalia kuwa ni mali halali ya serikali ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa Ujenzi wa mradi huo ni miongoni mwamiradi yenye mikataba bora zaidi ya uwekezaji na Ubia kuwahi kushuhudiwa hapa kwenye ardhi ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameishukuru na kuipongeza kamati hiyo ya Bunge kwa kutembelea mradi huo wa Ubia huku akiomba ushirikiano zaidi kati ya TAMISEMI na PPP ili kwa pamoja waweze kuvuta mitaji zaidi toka sekta binafsi ili kujenga miradi yenye tija na thamani halisi ya fedha kwa manufaa ya Taifa kwani miradi hii itaipatia Serikali Kodi pamoja na tozo mbalimbali na hivyo kuchochea ukuaji wa Uchumi endelevu huku Serikali ikiachwa ifanye au itekeleze miradi ile tu ambayo haina sura ya kibiashara na hivyo kuipa nafuu zaidi Serikali katika kutafuta Mikopo na misaada mbalimbali toka kwa wahisani na mashirika mbalimbali nje na ndani ya nchi ili kutekeleza miradi hiyo.
Pia soma Prof Kitila: Bajeti ya 2025|26 miradi mikubwa itatekelezwa kwa PPP
Mungu ibariki Tanzània yetu na Rais wetu

Asante Mama Samia

Hongera Kafulila

Hii Sasa sawa

Safi sana Mama Samia

Hongera sana PPP