baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Ukitoa Rostam ndio Mabilionea/Milionea wa Tanzania wanavyopata hela.Kundunduliza ni misemo ya kimaskini.
Wapi imeandikwa litagharimu 50B?Huyo Kafulila akija rais mjuba atakaa jela muda mrefu sana...
Kama ni mjanja ajipange mapema...
10 storey building kwa 50B?
DDC wana eneo la kujenga Size ya Milimani City?
Kariakoo ni mji mkongwe hakunaga kitu kinaweza kufanyika tena paleMkuu serikal haina uwezo, narudia haina uwezo wa kuifanya Kariakoo tofauti na ilivyo leo...
Serikal zote duniani ni incompetent kwenye kufanya aina ya biashara zinazofanyika Kariakoo...
Anachofanya Kafulila ni worst case scenario.. anamilikisha mali za umma watu binafsi kwa excuse ya PPP..
Not now, not in future.. .there is no Proper and best Kariakoo than it is right now..... Hiyo Kariakoo mpya ina exist kichwani tu
Ukiwaondoa hao wafanyabiashara wadogo na Soko nalo linakufa vile vile.Hayo matatizo mbona madogo sana kutatua, watu wamejenga treni za chini ya ardhi, wamebomoa majumba, itakuwa kuondoa machinga mtaani tu?
Tatizo watu hawana imagination na nia.
Ukiwa na imagination na nia hayo mengine yote yanafanyika.
Ukiwaondoa hao wafanyabiashara wadogo na Soko nalo linakufa vile vile.Hayo matatizo mbona madogo sana kutatua, watu wamejenga treni za chini ya ardhi, wamebomoa majumba, itakuwa kuondoa machinga mtaani tu?
Tatizo watu hawana imagination na nia.
Ukiwa na imagination na nia hayo mengine yote yanafanyika.
Usiishi kwa kukariri, wenzetu nchi zilizoendelea majengo yao yanajengwa hivyo na hakuna mashaka kama uliyonayo. Case ya machinga complex ni tofauti sana na hii ya DDC.Kama jengo litajengwa mtindo wa magorofa hakuna mpangaji atakayeingia humo kupanga. Chukueni somo kutoka Machinga complex imebaki mahame.
Wewe unaejua tuelezee imeandikwa Bilion ngapi...Wapi imeandikwa litagharimu 50B?
Hamuelewi mnachokisoma au ni ukondoo tu?
Huyu yupo kwenye exclusive world mkuu, achana nae...Ukiwaondoa hao wafanyabiashara wadogo na Soko nalo linakufa vile vile.
Swali moja kwako, kwanini uwapokonye wafanyabiashara wadogo kariakoo wakati kuna maeneo yaliyotengwa ya biashara ya kimataifa yenye ukubwa zaidi ya mara 10 ya kariakoo? Eneo kote kuanzia Mjini na barabara ya salender kwenda hadi mwenge kuna Eneo kuubwa lenye maelfu ya Biashara za kimataifa.
Kariakoo maghorofa yote yamebanana tofauti na enzi za Msajili wa MajumbaUsiishi kwa kukariri, wenzetu nchi zilizoendelea majengo yao yanajengwa hivyo na hakuna mashaka kama uliyonayo. Case ya machinga complex ni tofauti sana na hii ya DDC.
Hao unaowaita wafanyabiashara wadogo kwanza ni wapoteza nguvukazi ya taifa tu. Hiyo ni disguised unemployment tu hakuna biashara hapo.Ukiwaondoa hao wafanyabiashara wadogo na Soko nalo linakufa vile vile.
Swali moja kwako, kwanini uwapokonye wafanyabiashara wadogo kariakoo wakati kuna maeneo yaliyotengwa ya biashara ya kimataifa yenye ukubwa zaidi ya mara 10 ya kariakoo? Eneo kote kuanzia Mjini na barabara ya salender kwenda hadi mwenge kuna Eneo kuubwa lenye maelfu ya Biashara za kimataifa.
Wewe uliielewa embu tueleweshe step by step...Naona watu wamekurupuka kuchangia uzi kwa mihemko bila kuelewa kilichoandikwa. Mmeambiwa mradi ni wa serikali na mbia. Wakati ujenzi ukiendelea serikali itakuwa ikijipatia 2b kwa mwaka na baada ya mradi kukamilika serikali itajipatia 2.5b kama kodi ya jengo (kumbuka m'bia naye ana mgao wake nje ya hizo 2.5b) na bado hapo serikali itakusanya kodi na shuru nyingine kutoka kwenye uwekezaji huo. Kwa namna wakurupukaji wanavyochangia ni kama walitaka serikali ikusanye kilakitu na mbia asipate chochote kitu ambacho hakiwezekani. Nilidhani tungempongeza kwanza Kafulila kabla ya kucomment kwa chuki na mihemko.
Na wewe unapenda ku copy sababu nchi X imefanya Y kutotoboa na sisi unataka tupitie humo humo, kila nchi ina changamoto zake na namna ya kuzitatua.Hao unaowaita wafanyabiashara wadogo kwanza ni wapoteza nguvukazi ya taifa tu. Hiyo ni disguised unemployment tu hakuna biashara hapo.
That is part of the problem, watu hawa add value yoyote wanachafua mji tu.
Hao watu wanatakiwa kupewa biashara za kweli na sehemu za kufanya biashara, si kuchafua mji.
Again, hatuwezi kuelewana kwa sababu uko stuck ulipo na mimi nafikiria kinachoweza kufanyika far beyond ulipo.
Mobile money (tigopesa, Airtel money nk) ni ya mwingerezaNa wewe unapenda ku copy sababu nchi X imefanya Y kutotoboa na sisi unataka tupitie humo humo, kila nchi ina changamoto zake na namna ya kuzitatua.
Mfano mzuri angalia tu Mobile money kama Mpesa na Tigo Pesa ni kitu chetu tunajivunia Africa, tumeanzisha kitu na kimefit utamaduni zetu, so far Dunia nzima ina copy mfumo wa mobile money na Africa ikiwa pioneer.
Kwa logic zako hizi miaka 20 iliopita ungetaka na sisi tuegemee kwenye mifumo kama ya Ulaya ya Benki.
Hao unaoita wachuuzi wengi wanaingiza hela nyingi kwa mwezi kuliko Waalimu na wafanyakazi wengine wa Serikali, kawaida kkoo machinga kuingiza hadi laki kwa siku, kuna ma ofisa kibao serikalini wanatembea na Gari na kuendeshwa hawapati hio hela. So hao unaowadharau ni hope ya Taifa hili.
Siku zote mheshimu mtu ambaye Unampa 1000 anaweza akaizalisha na kesho akawa na 2000.
Huwa naikubali sana akili yakoWapi imeandikwa litagharimu 50B?
Hamuelewi mnachokisoma au ni ukondoo tu?
Hiyo hela labda kwa mwezi ndiyo ingeanza ku make sense.