baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Ukitoa Rostam ndio Mabilionea/Milionea wa Tanzania wanavyopata hela.Kundunduliza ni misemo ya kimaskini.
Bakhresa Anauza Ice cream soda, Unga na biashara ndogo ndogo, MO anauza soda, sabuni na biashara nyengine ndogo etc.
Hizo 500 anazidunduliza nyingi mpaka zinafika Trilioni.
Serikali ina majengo mengi sana Kariakoo, wakiweza kupata hata Jengo moja kwa mwaka 1B tunaongelea Mamia ya Mabilioni hadi Trilioni pato la mwaka, je hio fedha haiendeshi Wizara?