Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

Ukishakua chawa unaweza hata kumuona Baraka de Prince kafanana na bakhresa
 
Baba levo, mwijaku, doto magari na alistotle Kuna kijana wenu huku🤒
Wala hata! Nimeona picha ya sanamu la Nyerere huko Ethiopia, ghafla nikaona taswira ya Maxence ikitabasamu sana mbele ya wana JF
 
😂😂Ndo hivyo mkuu, si unajua tena FISI inebomolewa? Nowdays wanazagaa TIPTOP na Rambo, tunajipigia hata kwa buku mbili, tatizo wanataka upigie hadharani
Fisi ilibomolewa lini mzee?? Mbona naskia walibomoa kule m/nyamala tu huku wakaacha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…