PICHA: Hivi ndio CCM wanavyoona ile picha ya watalii wanaoondoka

PICHA: Hivi ndio CCM wanavyoona ile picha ya watalii wanaoondoka

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
106
Reaction score
383
Mtu wa kawaida:
Picha (hapo chini) ikionyesha watalii wakiondoka Tanzania kwa kile kinachotajwa kuhofia usalama wao kuelekea D9.
downloadfile.jpg


Ukiwa CCM na chawa kama CV no 2:
Picha hapo chini ni Mamia ya watalii wakimiminika Tanzania kwa ajili ya kufurahia likizo yao.

20251201_121235_0000.png

 
Nyumbu hata wakituma picha zao feki za uchochezi hawaoni aibu ni kuigana tu.Watalii wako wapi kwenye hiyo picha?Uki izoom unapata ushahidi kamili ya waliopo kwenye hiyo mistari.Watalii weusi kutoka Congo?
 
Wamalawi na warundi hao wanaenda kusubiri kupoe poe warudi.
Hamna mtalii hata mmoja hapo.
 
Back
Top Bottom