Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Waondoke tu ili vi Zanzibari vife njaa!Mtu wa kawaida:
Picha (hapo chini) ikionyesha watalii wakiondoka Tanzania kwa kile kinachotajwa kuhofia usalama wao kuelekea D9.
View attachment 3509906
Ukiwa CCM na chawa kama CV no 2:
Picha hapo chini ni Mamia ya watalii wakimiminika Tanzania kwa ajili ya kufurahia likizo yao.
View attachment 3509909