Hahaha twende tu tutayakabili mazingira huko huko, mbona wazungu walipohamia Amerika walikufa sana kwa magonjwa na leo wapo?Mr. Nanye Go nisome kwa umakini,
Mars Cargo Jets zitaondoka na zana wezeshi ambazo tumefanya tafiti na kuona ndizo zinazofaa kwa Mars. Mfano wa zana hizo ni teknolojia adhimu ya 3D Printing ambayo itawezesha kujenga majengo lengwa kwa muda stahiki na ubora pia.
Hivyo ni lazima machines hizi zilizotengenezwa kwa ajiri ya Mars zibebwe hadi Mars kuanza shughuli.
Ikumbukwe nia kubwa ni kuweza kupambana na radiation at first ambayo inaonekana ndio kikwazo kikubwa.
Pia kutahitajika Solar Circles Cercs za kutupatia nishati. Hapo tutaweza kuanza kuyatafiti maji na ustawi wa mimea.
Kupitia Cargo chakula ni muhimu maana hadi leo sijawahi kuona Mwadamu asiyekula.
Usiwe muoga hiyo 3D acha huku duniani tukagundue vingine kule. Mazingira wezeshi tutapambana na hali zetu, kwani wewe kabla ya kuvifahamu hivyo ulikuwa huwezi kuishi?