Picha: Hivi ndivyo tunaweza kwenda sayari ya Mars na kurudi Earth

What about atmosphere? inapatikanaje sasa
 
Ndiyo! hiyo inafahamika, imagine Tanzania eneo la asilimia 60+ bado halijaguswa. Tatizo kuna masuala yalikosewa toka mwanzo na hayo bado tunayafanyia tafiti na fumbuzi.
 
Tuanze na daraja la Jangwani, Mkwajuni na Kigogo kwanza ili tuweze kupitisha vifaa kwenda eapoti ya JKN.
Nipe maelezo ya maeneo hayo jinsi yalivyo, nitakuja na solution.

Sipo Dar es Salaam last time nilipita 2018.
 
What about atmosphere? inapatikanaje sasa
Tuwapo kule tutaanza shughuli za upandaji na urutubishaji mimea ambayo itakuwa chagizo na mihimili ya hali ya hewa wezeshi. Pia timu nyingine itakuwa na jukumu la kuunganisha gas na gas kuweza kuwa na Oxygen na Carbon.,.

Ndio maana ya kwenda kwa makundi kuandaa mazingira.
 
Kitu kingine ambacho nadhani baada ya kumaliza kutengeneza vifaa, Kampuni itoe nafasi za watu watakaotangulia na ni vyema watoke angalau wawakilishi 10 kutoka kila nchi ili kuimarisha mfumo wa kiutawala na kuepusha mgongano wa kimaslahi katika sayari hiyo.
 
Hakutokuwa na utawala bali sheria na masuala ya uswahili uswahili wa kidunia yataachwa.
 

Kwa bahati mbaya hukuchukua tenda? πŸ˜€ mkuu kweli unaelekea kukata kamba
 
Hivi hakuna "short cut" ya kufika Mars kirahisi, kweli!? Maana unaweza zeekea safarini kabla ya kufika huko kwa umbali huo.
 
Dunia itabaki kuitwa earth kwa maana amtosphere yake iko tofauti na zingine kwa sababu inapande zinazo tofautiana hali ya heya kwa maana juu ya uso wa dunia na chini ya bahari twende mbele turudi nyuma itachukua gharama kubwa kuigeuza sayari ya marsi kuwa ya viumbe mbalimbali kama wanaopatikana kwenye mto Amazon kwa sababu julize kabla ya Mimi na wewe kuzaliwa au wazee wetu wa nyuma kabisaaaaa yaaani AD na BC Sina hakika Kama walikuta sayari hii ya dunia ikiwa sawa na sayari ya zebaki akili kumkichwa
 
Mars Ina thin atmosphere sio kwamba haina kabisa hivyo juhudi zikifanyika Kuna uwezekano wa kuliongeza na kutandaza hewa ya oxygen kitu hiki kitachukua gharama sana na muda mrefu,ikiwezekana hivyo tu Basi mars patakuwa sehemu ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…