Wazaramo hao, wakati huo wachaga wananunua maeneo dar.
Sasa huyu mama weupe kautolea wapi?
Mkorogo wa vidongeSasa huyu mama weupe kautolea wapi?
Hata hapo Dar sidhani kama walikuwa washafika,labda babayake Mboe tu..sanasana walikuwa wakilala nyumba moja na N'gombe na N'gurue ..Ila huo uchezaji ni typical wa wazungu kuashiria upendo.Wazaramo hao, wakati huo wachaga wananunua maeneo dar.
duu alikua kapauka kaja kurembeka uzeeni