mfichuamambo
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 107
- 313
Kinyaa: a man MUST be masculine not feminine.Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu jameni?View attachment 1893104View attachment 1893105View attachment 1893106
Humu ndani jf kuna vituko sijawahi ona. Cheka balaa.Hao ndio wanaitwa w.......ge watemi,ukimkatalia unachezea ngumi.
Sasa dume gani atapendezwa nakutamaniwa na hiliBiashara matangazo