Itakuwa yeye labda alikuwa mbuzi jikeUmemueleza yule jamaa?Alikuwa akimuona mzungu tu,anahisi ni beberu!Funny moments,zigzag minds!😂😂😂😂
Tunaongelea uhusiano mwema. Vyuoni kuna programs za Foreign Relations unajua zinalenga nn?Kwahiyo ulitaka viongozi wa nchi zote za Africa washindane kwenda kuonana na Malkia? Fikra za kitumwa hizi.
Huyu jamaa ni kichekesho sanaKwahiyo ulitaka viongozi wa nchi zote za Africa washindane kwenda kuonana na Malkia? Fikra za kitumwa hizi.
Ukweli mtupu!Malkia ni muwekezaji Kenya, wakenya ni manamba wa wawekezaji kutoka nje, huo ndiyo uhusiano wa Kenya na nchi za magharibi, a master and obedient servant.
Kenya is very submissive to west. Ni nchi hatari sana kushirikiana nayo ku-pursue pan africanism agenda.
Wakenya ni wazungu. Pathetic
Wakenya huwa nao wanajionaga Wazungu na kujipendekeza kwa Wazungu ni kawaida yao, Kifupi hata siku tukitaka kuikomboa Africa basi moja ya watu watakaotukwamisha niKeTz
Wacheni kujitenga na ulimwengu majirani, ushirikiano/umoja ni nguvu, and for your information Sir, sisi sio wanafiki!!!Ukweli mtupu!
Hata hii choko choko ya bomba la mafuta(Hoima - Tanga), kuna mkono wa huyu jirani mnafiki.
Hiyo foreign Relations ni lazima kila kiongozi aende kwa Malkia?Tunaongelea uhusiano mwema. Vyuoni kuna programs za Foreign Relations unajua zinalenga nn?
Acha kuwa kama yule jamaa aliyekuwa akimuogopa kila mzungu na kumuita beberu.