Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu kabla ya kuandika huwa unafikiria kwanza, au huwa unaandika ndio baadae unafikiria?, Sasa kuonana na Malkia ndio sifa?, Kuwathamini na kuwanyenyekea wazungu kwako ndio jambo la maana?, Hivi hujui ni kiasi gani Nyerere alivyowachachafya wazungu na wengi aliwatimua na kufunga balozi zao?
Mkuu, weka posts zenye kuibua mijadala ili watu waweze kuweka michango yenye tija, punguza ushabiki na posts nyepesi nyepesi Kama hizi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile nmbona huyo Nyerere aliendea matibabu yake kule London ikiwa hakuwaamini hao aliowaita wabeberu
na mbona huyo huyo Nyerere aliendea matibabu yake kule London ikiwa hakuwaamini hao aliowaita wabeberuHivi mkuu kabla ya kuandika huwa unafikiria kwanza, au huwa unaandika ndio baadae unafikiria?, Sasa kuonana na Malkia ndio sifa?, Kuwathamini na kuwanyenyekea wazungu kwako ndio jambo la maana?, Hivi hujui ni kiasi gani Nyerere alivyowachachafya wazungu na wengi aliwatimua na kufunga balozi zao?
Mkuu, weka posts zenye kuibua mijadala ili watu waweze kuweka michango yenye tija, punguza ushabiki na posts nyepesi nyepesi Kama hizi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hayo mengine ni ya kweli, lkn haya maandishi meusi no ni uwongo. Hivi kweli ulitaka jiwe kwa akili zake zile mbovu akutane na malkia? Angeongea nn yule kichaa?Navyosikia Malikia alitaka kumsalimia Mwalimu kwa kummpa mkono huku amevaa gloves, Mwalimu akaona hii ni dharau na yeye akampa kile kifimbo...na huo ndio ukawa mwisho wa marais wa
Basi nyie jipendekezeni kwa Wahindi kama Wakenya wanajipendekeza kwa Wazungu.Wakenya huwa nao wanajionaga Wazungu na kujipendekeza kwa Wazungu ni kawaida yao, Kifupi hata siku tukitaka kuikomboa Africa basi moja ya watu watakaotukwamisha ni Kenyans.
Ndio maana kenya haiko kama nchi zingine alizoita majina Donald TrumpKaribu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika.
Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine?
Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
View attachment 2361221View attachment 2361222View attachment 2361223View attachment 2361225
Well answeredBasi nyie jipendekezeni kwa Wahindi kama Wakenya wanajipendekeza kwa Wazungu.
Africa ikombolewe toka wapi wakati Waafrica wenyewe ndiyo wanaifanyia ukoloni?
Alikwenda kuchukua umalkia akitokea KenyaKaribu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika.
Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine?
Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
View attachment 2361221View attachment 2361222View attachment 2361223View attachment 2361225
Kusalimiana nao tu mikononi anavaa kinga waafrika hatuaminikiMalkia yeye alikua haitaki hiyo foreign Relations kutoka upande wake?
So kuwa standard ya mzungu ndio sifa.Kama wakenya, hatujionangi kama wazungu it's our standard
Wakenya waliwaunga mkono makaburu wenzao wa South Africa.Wakenya huwa nao wanajionaga Wazungu na kujipendekeza kwa Wazungu ni kawaida yao, Kifupi hata siku tukitaka kuikomboa Africa basi moja ya watu watakaotukwamisha ni Kenyans.
Video iko post #20 nenda kaione uachane na mambo ya kusikiaNavyosikia Malikia alitaka kumsalimia Mwalimu kwa kummpa mkono huku amevaa gloves, Mwalimu akaona hii ni dharau na yeye akampa kile kifimbo...na huo ndio ukawa mwisho wa marais wa Tanzania kukutana na huyo malikia 🐒
Akili yako ndio imetelezaKaribu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika.
Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine?
Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
View attachment 2361221View attachment 2361222View attachment 2361223View attachment 2361225
Kwahiyo mwisho utaniuliza mbona Nyerere ni muumini wa dini iliyoletwa na wazungu, au mbona anatumia gari zilizotengenezwa na wazungu, au anavaa nguo zilizotengenezwa na wazungu, au alisoma shule za wazungu. Wewe hamna kitu kichwani kabisa.na mbona huyo huyo Nyerere aliendea matibabu yake kule London ikiwa hakuwaamini hao aliowaita wabeberu