Picha hizi zinathibitisha uhusiano wa karibu kati ya Kenya na Uingereza


na mbona huyo huyo Nyerere aliendea matibabu yake kule London ikiwa hakuwaamini hao aliowaita wabeberu
 
Navyosikia Malikia alitaka kumsalimia Mwalimu kwa kummpa mkono huku amevaa gloves, Mwalimu akaona hii ni dharau na yeye akampa kile kifimbo...na huo ndio ukawa mwisho wa marais wa
Hayo mengine ni ya kweli, lkn haya maandishi meusi no ni uwongo. Hivi kweli ulitaka jiwe kwa akili zake zile mbovu akutane na malkia? Angeongea nn yule kichaa?
 
Wakenya huwa nao wanajionaga Wazungu na kujipendekeza kwa Wazungu ni kawaida yao, Kifupi hata siku tukitaka kuikomboa Africa basi moja ya watu watakaotukwamisha ni Kenyans.
Basi nyie jipendekezeni kwa Wahindi kama Wakenya wanajipendekeza kwa Wazungu.

Africa ikombolewe toka wapi wakati Waafrica wenyewe ndiyo wanaifanyia ukoloni?
 
Wakenya huwa nao wanajionaga Wazungu na kujipendekeza kwa Wazungu ni kawaida yao, Kifupi hata siku tukitaka kuikomboa Africa basi moja ya watu watakaotukwamisha ni Kenyans.
Wakenya waliwaunga mkono makaburu wenzao wa South Africa.
 
Navyosikia Malikia alitaka kumsalimia Mwalimu kwa kummpa mkono huku amevaa gloves, Mwalimu akaona hii ni dharau na yeye akampa kile kifimbo...na huo ndio ukawa mwisho wa marais wa Tanzania kukutana na huyo malikia 🐒
Video iko post #20 nenda kaione uachane na mambo ya kusikia
 
na mbona huyo huyo Nyerere aliendea matibabu yake kule London ikiwa hakuwaamini hao aliowaita wabeberu
Kwahiyo mwisho utaniuliza mbona Nyerere ni muumini wa dini iliyoletwa na wazungu, au mbona anatumia gari zilizotengenezwa na wazungu, au anavaa nguo zilizotengenezwa na wazungu, au alisoma shule za wazungu. Wewe hamna kitu kichwani kabisa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…