Have the haters arrived yet?
Kumbe mnawapenda eeh!!Kamati ya Roho ya kishetani wako wapi???
Is there anything to hate here[emoji41]Have the haters arrived yet?
Huwezi linganisha Kenya na LCDNi Kama wakenya wote wanaishi Nairobi, mbona county zingine Serikali imepeleka nini cha maana, zaidi ya njaa. China ikija kuchukua chao wataigeuza hii nyumba kua apartment
tuliwaletea story za Mombasa , Kisumu , Nakuru .... mkasema turudi Nairobi kidogo.Ni Kama wakenya wote wanaishi Nairobi, mbona county zingine Serikali imepeleka nini cha maana, zaidi ya njaa. China ikija kuchukua chao wataigeuza hii nyumba kua apartment
tuliwaletea story za Mombasa , Kisumu , Nakuru .... mkasema turudi Nairobi kidogo.
Sisi Muhimbili kitengo cha moyo cha Jakaya Mrisho Kikwete, kwa miaka mitatu tuu, tumeshafanya upasuaji wa moyo wa watu 3000. Idadi hiyo ni sawa na hospitali zote za Kenya.Have the haters arrived yet?
Kumbe mnawapenda eeh!!
Wakija mnaanza kulia lia oh Kwanini wanakuja Kenyan forums
Wapuuzi nyie
Tambo za kiboya Sana hizi, ngoja Al Shabab waingie kwenye hiyo hospital ndio mjute kuzaliwa Kenya
The Kenyatta University Hospital was officially opened on Monday.
The teaching, referral and research facility has a 650-bed capacity and sits on 100-acres.
It will provide emergency, cardiology, laboratory, gynecology services and oncology services.
Other services include pediatric, surgical and funeral home services.
Also
Meza wembeTambo za kiboya Sana hizi, ngoja Al Shabab waingie kwenye hiyo hospital ndio mjute kuzaliwa Kenya
Tambo za kiboya Sana hizi, ngoja Al Shabab waingie kwenye hiyo hospital ndio mjute kuzaliwa Kenya
Shugulika na za TanzaniaKenyatta Univeraity teaching Hospital ,yani hata kupanga jina hivyo tu wameshindwa
Emergency Medicine Department or Accidents and Emergency department , nani alikua anaandikia hayo majengo asee.
PropagandaSisi Muhimbili kitengo cha moyo cha Jakaya Mrisho Kikwete, kwa miaka mitatu tuu, tumeshafanya upasuaji wa moyo wa watu 3000. Idadi hiyo ni sawa na hospitali zote za Kenya.
Propaganda