Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wacha kulinganisha hospitali mashuhuri ya Kenyatta na zahanati ndogo ya Muhimbili.Kenyatta University teaching Hospital ,yani hata kupanga jina hivyo tu wameshindwa
Emergency Medicine Department or Accidents and Emergency department , nani alikua anaandikia hayo majengo asee.
Kama mlikua hamjui jinsi ya kuandika si mngekuja Muhimbili kuuliza