Picha: Hospitali mpya ya chuo cha Kenyatta - mambo faya

Ni Kama wakenya wote wanaishi Nairobi, mbona county zingine Serikali imepeleka nini cha maana, zaidi ya njaa. China ikija kuchukua chao wataigeuza hii nyumba kua apartment
Aliyekuambia Kenyatta University iko Nairobi ni nani?
 

Kwa Afrika kwenye sekta ya moyo ni Afrika kusini tuu ndiyo wanaotushinda.
Wenye rangi mbona wamaejaza picha? Hivi mtanzania wa kawaida hana hizi maarifa ama huko watu hawaendi shule, kazi tu ni kutunza nyimba za kusifu sisiemu?
 
The Kenyatta University Hospital was officially opened on Monday.


I am very much interested to know availability of medical insurance services in Kenya to the normal wananchi. I believe there are those sponsored by private / Govenment insurance.

Kwa mfano, hapa Tanzania...kuna hawa NHIF, kwa Mtanzania yeyote yule under 18yrs analipia TZS 50,400 ($ 21.8) tu anakuwa na access ya huduma za afya kokote nchini na katika hospital kubwa yeyote nchini.
Je Kenya do you have such service kwa jamii au ni hadi mtu awe kwy formal system? How easy mtu wa kipato cha chini anaweza access huduma za afya?

And then baada ya hapo individuals can have access to health care kwa kusubscribe kwy mifuko hii ya afya na akapata huduma za matibabu vile vile;

18 to 35 yrs ni TZS 190,000
35 to 59 yrs ni TZS 240,000
Above 60yrs ni TZS 360,000

CAN SOMEONE SHARE WHATS IS AVAILABLE in Kenya to the normal mwananchi?


Ki ukweli, aliyeweka hii 50400 kwa wenye umri chini ya 18 Mungu ambariki sana. Imefanya tutibu wanetu kwa gharama za chini kabisa. Hii ndio maana ya Serikali kuwajali wananchi wake.
 
Wenye rangi mbona wamaejaza picha? Hivi mtanzania wa kawaida hana hizi maarifa ama huko watu hawaendi shule, kazi tu ni kutunza nyimba za kusifu sisiemu?
Duh kila mtu ni mzungu kwenye hilo picha.
Hao wapo kufanya biashara kwa kuwa tumenunua vifaa kutoka nchi zao vya thamani za dola milioni kadhaa.

Ni wataalam waliokuja kuongeza utaalamu wa madaktari wetu, walileta teknolojia mpya kama kubadilisha mishipa ya damu kutoka kwenye miguu kwenda kwenye moyo na kufanya coronary artery bypass. Wataalam wengine ni pamoja na wale wanaofundisha kutoa upasuaji wa kutumia tundu dogo (minimally invasive surgery).

Kuna mashine mpya za upasuaji huo serikali ilinunuli hivi karibuni ambapo waliozitengeneza ilibidi waje watoe maelezo ya jinsi ya kuzitumia.

Narudia tena, kwa Afrika ni Afrika kusini pekee ndiyo wanaotuzidi kwenye upasuaji wa moyo na kwa tunavyoenda hata wao tutawapiga bao muda si mrefu.
 
Benjamin Mkapa Teaching hospital for University of Dodoma
Mlonganzila Teaching hospital for Muhimbili University


 
I was going to ask the same thing. Yani picha moja ya Kenyatta University hopital inafanya Watanzania waporomishe picha za hospitali zao zote!!!! Inferiority complex is a bad disease
Wala hamjaletewa hospital zote kubwa Tanzania, sijaona muhimbili hapo, Bugando, KSMC, MOI, hospitals za Kanda sijaona hospitals nyingine kubwa ambazo zinajengwa kwa sasa (3) yaani kubwa kuliko hata hii yenu mlioleta
 
I was going to ask the same thing. Yani picha moja ya Kenyatta University hopital inafanya Watanzania waporomishe picha za hospitali zao zote!!!! Inferiority complex is a bad disease
Na vile waTz hujaa kwa hospitali za Kenya πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
hilo jengo la kenya hata stendi mpya ya dom ni nzuri kuliko
 
Wala hamjaletewa hospital zote kubwa Tanzania, sijaona muhimbili hapo, Bugando, KSMC, MOI, hospitals za Kanda sijaona hospitals nyingine kubwa ambazo zinajengwa kwa sasa (3) yaani kubwa kuliko hata hii yenu mlioleta
Weka hapa bro usiwaogope Wakenya, Wai Ni watu was kusema na kutenda so fuata mtindo kwa kuweka picha ya hizo hospitality zote...Kama tutaangua kicheko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
NyieKunya boys yaani mkinya Mavi uko kwenu lazima halafu muilete huku? Nani anahangaika na nyie? Tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya toeni ushamba wenu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…