Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Maamuzi magumu ni kuelekeza miradi mikubwa ya maendeleo nyumbani kwako? Hakuna Wilaya iliyopata miradi mingi kama Chato nchi hii! Sasa huo kama sio upendeleo ni nini?Na iwe tu.....
Lowassa alisifiwa na kujisifu kwa MAAMUZI MAGUMU....
Watanzania waliyataka hayo maamuzi MAGUMU....
JPM anakikata KIU CHAO KIKALI.....
Lugha za kibaguzi, ccm mtaifanya nchi hii kimwagika damu, maana ipo siku watu watachoka.Halafu mwisho wa siku utakuta wengi wa manesi, madaktari, madaktari bingwa, wafamasia, wakuu wa vitengo nk. watakaohudumia hiyo hospitali ni kizazi kile kile kutoka kule kule Kaskazini mwa Tanzania (Kilimanjaro na Arusha). Alileta TRA Chato wale jamaa wa Kaskazini wakajaa ofisini, Akapeleka CRDB bado wale wale, akajenga Airport bado wale wale.
Wazee wa fursa wameshatinga chato, wanakwenda na upepo unapovuma, wanavuna pesa za wajinga wajinga Chato na kupeleka Moshi kuzitumbua kila Disemba!
Sio warudi mikoani bali waende Chato! Yanayofanyika Chato hayajashuhudiwa wilaya yoyote nchini!Tunawalisha samaki nchi nzima, tunawalisha dagaa nchi nzima, tunawapa madini Sasa tusipowawekea mazingira mazuri Ili mje kuchukua mizigo na biashara kwa uzuri mnataka mkija mteseke? Na mkiumwa mkose hospital, Mimi nimependa style hii ya maendeleo Sasa waliokimbia mikoa yao kwenda kukaa dar bila shughuli ya muhimu Sasa tunawatanya mrudi mikoani mkajinufaishe mapema.
Kwa ndege itapendezaNiache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?
Hahahaaaa....... CCM ni chama kikubwa bwashee!Wewe mataga hata tablet unaenda kupanga mstari Lumumba uandikwe jina ndiyo uchukue sembuse bima ya afya?
Ina maana kwa idadi ya watanzania hospitali tatu kama hizo zinatosha!!!Hakika ni hatua kubwa mno ITAKAYOPIGWA.
Kuhudumia wananchi milioni 18 wa nchi hii si jambo DOGO haswaaa.
Tunategemea mengi yatafanywa na kuachwa kama LEGACY kwa ajili yetu wananchi kipindi hiki cha awamu ya 5.
Mlingotini!Hyo BANDARI YA WACHINA INAJENGWA MBINGUNI?.
Hivi nilikuwa sijui kumbe pale Chato ni katikati ya mikoa 6 ya kanda ya ziwa.Kwa mujibu wa Wizara ya Afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18.
Kwamba wagonjwa 700 watahudumiwa kila siku.
Kwamba mikoa 6 ya kanda ya ziwa itahudumiwa na hospitali hii
Kwamba hospitali ya Rufaa Chato itahudumia takribani 1/3 ya Watanzania wote
Hivyo ni muhimu ujenzi wa hospitali hii ukakamilika mapema.
Maendeleo hayana vyama!
Duh.. Utakuta huyu nae ni msomi ana digrii alafu kaandika huu utopoloHalafu mwisho wa siku utakuta wengi wa manesi, madaktari, madaktari bingwa, wafamasia, wakuu wa vitengo nk. watakaohudumia hiyo hospitali ni kizazi kile kile kutoka kule kule Kaskazini mwa Tanzania (Kilimanjaro na Arusha). Alileta TRA Chato wale jamaa wa Kaskazini wakajaa ofisini, Akapeleka CRDB bado wale wale, akajenga Airport bado wale wale.
Wazee wa fursa wameshatinga chato, wanakwenda na upepo unapovuma, wanavuna pesa za wajinga wajinga Chato na kupeleka Moshi kuzitumbua kila Disemba!
Siku utakuwa unaumwa hujitambui..ukizinduka unakutana na bango la Chato hospitalNiache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?
Kabisa mkuuKwann asitoe amri taasisi zote zijenge makao makuu kule hii inawezekana
Tanzania ni ya wote. Sasa kama wasukuma hamtaki kusoma tuwafanyeje? Wachaga tutakuja kuwahudumiaHalafu mwisho wa siku utakuta wengi wa manesi, madaktari, madaktari bingwa, wafamasia, wakuu wa vitengo nk. watakaohudumia hiyo hospitali ni kizazi kile kile kutoka kule kule Kaskazini mwa Tanzania (Kilimanjaro na Arusha). Alileta TRA Chato wale jamaa wa Kaskazini wakajaa ofisini, Akapeleka CRDB bado wale wale, akajenga Airport bado wale wale.
Wazee wa fursa wameshatinga chato, wanakwenda na upepo unapovuma, wanavuna pesa za wajinga wajinga Chato na kupeleka Moshi kuzitumbua kila Disemba!
Mashangazi wanajitibia na maua ya KoroshoHivi kusini wana Hospitali kubwa ama ya Rufaa yoyote yaani Ruvuma, Lindi, Mtwara pamoja na maeneo ya nyanda za kusini. Maana sijawahi kusikia na kama haipo si ingekuwa vyema nao wakapatiwa
Kasema hatua planned zote zikamilike kwa pamoja, si jambo dogo, ukisikia vision waziri wa afya itakutakuwa mbali ya huduma bigwa, chuo cha tiba na utalii wa tiba...Burigi Chato....Huenda ikawa ya kipekee Africa, ushauri wangu tukawekeze Chato.Bado Chato University College Of Healthy And Allied Science (CUCHAS)
Ulishawahi ona Kijiji Cha Mabutu, baada ya kupinduliwa!Hivi nilikuwa sijui kumbe pale Chato ni katikati ya mikoa 6 ya kanda ya ziwa.
Maana yake ni kwamba itakuwa rahisi watu kufika pale kutoka kila upande.
Ninachojua,hii hospitali itakuwa ya mfano ndani ya miaka hii mitano.Itapata support yote ya serikali.na high class vifaa tiba.ila bada ya mitano hii sijui kitakachofuata
Kwani haitoi huduma za kibingwa kwakuwa siyo ya serikali?
Kwani wewe ulipokata bima ya afya ni magonjwa au mgonjwa mtarajiwa?
Mlingotini!