Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Dar dude Kama hili lingesimamishwa bk mjini lingesaidia Sana, kutatatu kero za referal toka wilaya za pembezoni,
Bk mjini hata stendi ya mkoa wenye watu 3m haipo zaidi ya kichochoro Tu.

Anyway Chato sio mbali na Bukoba kiviile
 
House girl ni mtu wa Geita nafiri atanishukuru nikimuambia arudi kwao akawahi fursa mimi nitafute mwengine.
 
Wazo ni nzuri lakini Hospitali hiyo ya Rufaa ingejengwa Geita Mjini.
 
Hivi ile hosp ya uhuru pale Chamwino tunaweza pata picha zake.. kama kuna kamchezo kanafanyika.
 
Bk mjini hata stendi ya mkoa wenye watu 3m haipo zaidi ya kichochoro Tu.

Anyway chato sio mbali na bukoba kiviile
Nyie si mlimchagua yule jamaa aliyeamua na kukimbia chama chenu..

Subiri chief atawajengea stand ya kisasa.
 
Mambo mengine unaona kabisa ni ushauri mmbovu,...... Kuna wakati watu inabidi wamwambie ukweli ata kama wanaupenda uwaziri.
Kwa nini unaamini ni ushauri mbovu na sio maamuzi yake mwenyewe?

Waafrika pamoja na Wakomunisti wa China na Russia tunaamini Rais ni Mungu Mtu, akichemka tunasema likikuwa ni wazo la washauri kwa sababu Rais hawezi kutunga wazo la kiduwanzi kiasi hicho. Tunakwama hapo pia kwa sababu tunashindwa kuwalaumu na kuwawajibisha wao binafsi.
 
Mimi ninachopinga ni ule uwanja wa ndege. Nadhani haukuwa wa lazima kabisa. Zile pesa zingeenda Mwanza kujenga temino ya kisasa au zikaenda Dodoma kuuboresha uwanja wa ndege pale.

Hapa kwenye hospitali nakubaliana na Rais kabisa. Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi Hapa nchini. Kanda ya ziwa ndio eneo lenye watu wangu kuliko yote nchini. Ikiwa na hospitali ya rufaa moja tu pale Mwanza ilikua haikidhi mahitaji kabisa.

Kuwa na hospitali za rufaa tatu. Karibu Karibu kama hivi, yani Chato, Mwanza na Musoma. Kutasaidia sana kuipunguzia Bugando pressure. Yaani ilikua imezidiwa kabisa.
 
Mwambieni hata huku mkoa wa Pwani hakuna hosp kubwa, mbuga za wanyama hakuna hata ka airport hakuna.

Mbona kwake tu.
 
Bado uwanja wa kimataifa wa mpira wa miguu utajengwa Chato, game za Taifa Stars nyingine tutaenda kuangalizia Chato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…