4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Bk mkuu pamoja na kua ni mkoa umeshiriki KATIKA harakati za ukombozi ila umesaulika Sana sijui ni KWA nini, lakin sio bk tu naona mikoa mingi ya mipakani umesaulika Sana, badala ya kuifanya kua fulsa KWA nchi jiraniBk mjini hata stendi ya mkoa wenye watu 3m haipo zaidi ya kichochoro Tu.
Anyway Chato sio mbali na Bukoba kiviile
Uwahi kabla miqkq ya mkuu haijaishaItabidi niwahi chato kutafuta ardhi, ili niwekeze kule.Maana naona kumenoga,bado chato stadium nayo ipo kwenye mpango wa ujenzi.
😁😁😁😁Inawaka waka mama ai mamaa
Kwa akili zako unafikiri hauna madaktari bingwa au wakawaida kutoka hilo kabla unalolinanga! Pokea taarifa hii sasa, Wasukuma ni moja ya kabila hapa Tanzania wanaosoma masomo ya Sayansi kwa wingi! Kifupi ni hivi kanda ya ziwa kwa ujumla wanapenda masomo ya Sayansi na wanayatendea haki, Nenda vyuoni nenda makazini kaangalie Madaktari,Mainjinia na Madini yaani Geologists ujiridhishe halafu ndio urudi kupuyanga hapa na maneno yako ya kibaguzi na kikabila, Zama zimebadilika ndg yangu.Halafu mwisho wa siku utakuta wengi wa manesi, madaktari, madaktari bingwa, wafamasia, wakuu wa vitengo nk. watakaohudumia hiyo hospitali ni kizazi kile kile kutoka kule kule Kaskazini mwa Tanzania (Kilimanjaro na Arusha). Alileta TRA Chato wale jamaa wa Kaskazini wakajaa ofisini, Akapeleka CRDB bado wale wale, akajenga Airport bado wale wale.
Wazee wa fursa wameshatinga chato, wanakwenda na upepo unapovuma, wanavuna pesa za wajinga wajinga Chato na kupeleka Moshi kuzitumbua kila Disemba!
Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
Umelazimishwa kwenda? kunguni weweeNiache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?
Aahahaaaaaa, umelazimishwa kusoma comments? kiazi weweeeUmelazimishwa kwenda? kunguni wewee
Mtaalam gani amshauri?Ata kama ni maamuzi yake kabla ya kujenga ana wataalamu wakumuelewesha criteria za kufanya such an investment.
Hospitali yenye uwezo wa kuhudumia watu 700 kwa siku rural district sio mahala pake kutokana na factor abc za everyday operation requirements.
Kwa ivyo ni swala la education pia kwa upande wake sio kila wish yake apewe; if it’s not practical inabidi aelezwe pia.
Gwajima uwezi mtishwa mzigo huo yeye kayakuta.Mtaalam gani amshauri?
Mama Gwajima ana mwezi mmoja kazini, anapataje brass balls za kupinga agizo la Rais kwa kigezo cha wataalam wizarani wanasema usijenge hospitali?
Na unajuaje hawajamshauri akakataa ?
Unahitakika kukosa kabisa sense ya aibu kichwani kwako hadi kufanya haya au kuyashabikia.Maendeleo hayo.....
Hivi unaipanuaje nchi bila ya kufanya hayo?
Hakika UTHUBUTU ndio unaotakikana.
Wananchi wa CHATO nao wanastahili huduma bora ya AFYA.
MAENDELEO HAYANA VYAMA
Itategemea uko wapiNiache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?
Walikosea kuita Hospital ya Kanda itakayohudumia mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu , Shinyanga, Geita, Kagera, KigomaItategemea uko wapi
Wagonjwa wapo Geita tu!? Huduma itaamua nani apelekwe wapi...tunawapeleka Nairobi , India, Ujerumani nk.Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato
Mji haujengwi kwa lazima bali hujijenga kwa nguvu za kiuchumi za sehemu husika.Itabidi niwahi chato kutafuta ardhi, ili niwekeze kule.Maana naona kumenoga,bado chato stadium nayo ipo kwenye mpango wa ujenzi.
Utakwenda tu maana huyo daktari unaeamini anuelewa mzuri wa ugonjwa wako atahamishiwa chato unadhani wanao kwenda India na Israel wote wanapenda kwenda uko ? Weka akiba ya maneno haswa kwenye. Suala la AfyaNiache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?