Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina Maana Kesi Haijafikishwa Mahakamani Ama Hawajamkamata MtuhumiwaMwez wa 5?
08 mtumba /Mwez wa 5?
Wizi wa kijinga kama wa hao ni ishara ya kuto staharahikaSasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Uongo; mmeanza kutengeneza matukio.Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687View attachment 3148688
Usiwaamini hao watu. Wanaweza kutengeneza tukio ili kwa maslahi wanayojua wao.Inatakiwa mfano uoneshwe kwa watu wachache.
Au serikali ipige marufuku vyuma chakavi wakizuia kwa mwaka tu mbona mambo yanakuwa safi
Kingine polisi warekebishe mfumo wa RB uwe nationally kama control number