Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Hawa wangenyongwa bila kutupotezea muda na fedha. Hata hivyo, hao wahujumu wakubwa tumewafanya nini? Je nani kawatengeneza hawa? Wachapwe bakora na kuonywa yaishe.
 
Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Kikwete ameibaje gesi yetu?
 
Hujui!!!! Kaingia mikataba feki na ya kiwizi kwa faida yake na majiziii wenzake.
Weka details hapa tuzione. Jina la mradi na terms za mkataba.

Maana sasa hivi kila mpinzani wa Serikali amekuwa ni bingwa wa sheria za mikataba.

Kwa uelewa wangu TPDC ndiyo wanaingia mikataba ya uwekezaji na makampuni ya kigeni. Na hii ni sheria ilitungwa wakati wa Mkapa na ikaboreshwa wakati wa JK kisha JPM.

Sasa tuwekee mikataba ya gesi aliyoingia Kikwette kwa faida yake
 
Wewe na wanzako si huwa mnajigamba kwa kumuua Dkt Magufuli, yaani ni kama Nape ambavyo huwa anatembea kifua mbele akijua Dkt Magufuli kamuua na hakuna wa kumfanya kitu hahaha
Utakamatwa ukatoe ushaidi bibie
 
DPP tunaomba hiyo kesi ushinde, na hawa wahujumu uchumi wapate fundisho, kama hawakufunzwa na wazazi wao basi dunia iwafunze pengine watabadilika. na nawashauri hiyo kesi iwe publicised ili watu wengi waone naman watanzania wenzetu wanavyotuhujumu.
 
Wewe una wivu. Kuwa mzalendo na wewe ili utetewe hata kama umebaki
Mifupa. Sisi ni watatezi orijino wa Dkt Magufuli, tulimsemea yaliyo mema akiwa hai na sasa akiwa mifupa, alikuwa mzalendo na tunampenda! Pole sana kama ulidhani mukimuua eti umaarufu wake utashuka no no he is more relevant and famous kuliko hata alivyokuwa hai.
Siyo kweli kwamba wakati wa Magufuli hujuma au wizi zilisimama. Acheni kuabudu binadamu. Hata Biblia kwenye Yeremia 17:5 inasema "BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake"
 
Wakukamatwa wapo wengi mno siyo mimi, mfano tu Nape aliwahi nukuliwa kusema Mungu kaamua ugomvi akimaanisha kifo cha Dkt Magufuli.
Ni kweli Mungu alifanya maamuzi yenye tija. Magufuli alikuwa anaharibu ustawi wa kijamii na kisiasa wa nchi yetu
 
Back
Top Bottom