Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Duu 😳😳 sasa wanataka nini, watoe order anyekamatwa wakachukue mpaka familia yake wote ndani maana familia zinajua ujinga huo, kama kaoa wakambebe na mkewe na watoto, kama Bado waswage wazazi wake .
Pumbavu!
 
Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Duh, hebu tushushie uzi wa scandal ya Kikwete na gas jinsi tulivyopigwa
 
Na ni kwanini kuna gap kwenye hiyo RB.. Linganisha na hii.. Nimeficha baadhi ya tasrifs
20241111_123027~2.jpg
downloadfile.jpg
 
Utaua wengi, cha kufanya ni kutoa elimu kwanza kama vile tulivyoambiwa kuhusu katiba.
Kwenye hivyo vielelezo kuna mtu kaiba uma.

Nani Tanzania tena huko Morogoro anatumia Uma kulia chakula.

Kuna watu bado wana akili za wanyama bado hawajaevlove kikamilifu, hata kuwapiga shoti nayo ni Elimu
 
Maskini wengi wana roho ya uharibifu, kila kitu wao ni kuharibu kwa manufaa yao binafsi, usimwamini mtu maskini, umaskini ni mzigo.
 
Wanatakaje Hao
Isitembee Ama Nini
Kajibuni ajira,katika uchunguzi,itafutwa kama amewahi kufanya kazi ya kumwingizia kipato halali na mazingira yanayo mzunguka,baada ya hapo tusogee hatua ya pili ya kuhujumu.
 
Wewe una wivu. Kuwa mzalendo na wewe ili utetewe hata kama umebaki
Mifupa. Sisi ni watatezi orijino wa Dkt Magufuli, tulimsemea yaliyo mema akiwa hai na sasa akiwa mifupa, alikuwa mzalendo na tunampenda! Pole sana kama ulidhani mukimuua eti umaarufu wake utashuka no no he is more relevant and famous kuliko hata alivyokuwa hai.
Tukimuua? Mi na nani? Kufa ahadi kwa kila mtu
 
Huu ni uhujumu uchumi. Hawa wanafanya kazi ya kujiibia au kuharibu mali yao wenyewe ambayo wameitolea jasho.
Ushauri: Kiundwe kikosi kazi maalumu kwa ajili ya ulinzi wa SGR.
 
Tukimuua? Mi na nani? Kufa ahadi kwa kila mtu
Wewe na wanzako si huwa mnajigamba kwa kumuua Dkt Magufuli, yaani ni kama Nape ambavyo huwa anatembea kifua mbele akijua Dkt Magufuli kamuua na hakuna wa kumfanya kitu hahaha
 
Back
Top Bottom