Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Serikali Iko bize kupambania na Chadema.Wakati uhujumu uchumi upo kwa matajili wa usafirishaji.
Nani atamfunga paka kengere
Nani atamfunga paka kengere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Tarehe ya wizi 24/5Huu ni uongo!hizo picha za kwao haohao SGR,na huo muhuri ni wa kuchonga kwa mzee Tambwe, hebu ona happ kwenye muhuli" ""mkuu wa kituo ---------- cha polisi"mbona muhuli wa mchongo kabisa?hilo dude ni bovu
Hii post iwe laminatedSasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Tarehe ya RB 24/5🥺🥺🥺😂Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687View attachment 3148688
Usika wakuu ni raia feki awawezikufikishwa mahakamani wala kutajwa bali watafikishwa mahakamani vidagaa na baadae kesi kufutwaIna Maana Kesi Haijafikishwa Mahakamani Ama Hawajamkamata Mtuhumiwa
Wanajidai kutafuta wezi wakati MWIZI MKUU NA FISADI NO 1 YUPO NA SAMIA KILA SEHEMU ...MUHUNI ROSTAM AZIZISasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Kwa sababu wametumwa kufanya huo uharamia na vigogo ambao ni wamiliki wa mabasi ya usafiri, lengo kuu hasa ni kuilinda ustawi wa biashara yako ya mabasi isizorote..Kwa nchi hii wanajulikana lakin hawatafanywa chocjote
Na hapo ndio kitakachokuja. Tutarajie tender kutangazwaWaweke fensi ya volt 400
Hii nchi ni ya kingese sana. Mi wala sifuatilii.Kwa sababu wametumwa kufanya huo uharamia na vigogo ambao ni wamiliki wa mabasi ya usafiri, lengo kuu hasa ni kuilinda ustawi wa biashara yako ya mabasi isizorote..
Nchii hii inakatisha tamaa kabisa ya kuendelea kuishi kwenye aridhi hii.
Kila kitu angekuwepo magufuli,ndio ayupo sasa tunafanyaje??! Mnapenda kuabudu binadamu wenzenu,utadhani Magufuli ndio alipigania uhuru wa hii nchi,Angekuwepo Dkt Magufuli yaani lilikuwa tamko moja tu hao wajinga wangekoma.
Halafu mpumbavu wa aina hiyo anakuja kuanzisha uzi unalaumu eti hakuna kilichowahi kufanywa na serikali tangu nchi ipate uhuru!.Nchi ina Watu wajinga sana hii, ama kweli kuna binadamu Bado ni nyani..
Una haribu vipi mali yako
Kwa sababu wapo wanaoiba mabilioni ndio iwe halali kwa hao wezi wanaoiba miundo mbinu ya reli?.Wa kuiba mabilion ndiyo wamestarabika?
Level of understanding + umasikini.Wanatakaje Hao
Isitembee Ama Nini