Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Wabongo karibu wote ni wezi tu, wanahitaji tu mazingira sahihi na nafasi...
 
Kwa nchi hii wanajulikana lakin hawatafanywa chocjote
 
This is serious allegations. Jr, give us a hint rather than a proof please.
Ithibati zipo za kutosha kabisa.. Mkuu wa nchi alisema waziwazi kwamba wamenunua vichwa used vinavyohitaji matengenezo
20241111_063939.jpg
 
Waharibifu kama hao, ikithibitika ni SHABA kwenye KISOGO !! Wala hakuna muda wa kupoteza MAHAKAMANI !!
 
Nchi ina Watu wajinga sana hii, ama kweli kuna binadamu Bado ni nyani..

Una haribu vipi mali yako

Acha Tu Aisee Hii Haivumiliki

Wanataka Kuturudisha Nyuma Aisee

Aisee Wachukuliwe Hatua Kali Sana Kisheria.

Kuna Watu Wako Na Ufa.la mwingi sanaaa.
 
Inatakiwa mfano uoneshwe kwa watu wachache.

Au serikali ipige marufuku vyuma chakavi wakizuia kwa mwaka tu mbona mambo yanakuwa safi

Kingine polisi warekebishe mfumo wa RB uwe nationally kama control number

YES upo sahihi chief [emoji817]
 
Back
Top Bottom