Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
 
Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Acha kubuni vitu
 
Hivi Kadogosa kwa akili yake ya Matope anajengaje SGR bila CCTV na ulinzi wa kutosha?
 
Wakuu

Mnakumbuka hivi karibuni TRC iliomba radhi baada ya Treni ya Mchongoko inayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga? Baadaye, TRC ilieleza kuwa tukio hilo ni matokeo ya hujuma zinazofanywa dhidi ya miundombinu ya reli. Hapa kuna baadhi ya picha zinazoonyesha uharibifu uliosababishwa na wezi kwenye miundombinu ya SGR.

Pia, Soma: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
GcFP00-XoAAx67Q.jpg

GcFP1L6W4AAZacp.jpg


GcFP0wWWgAAZBig.jpg


GcFP004XgAAdcTs.jpg
Soma:
 
Inasikitsha sana, matokeo ya umasikini wa kipato na akili.
 
Mlango tu wa kujustify failure za treni kuzimikazimika hovyo, wanajua watanzania ni viazi so wakizua vidrama vidogovidogo kama hivi watasahau na kufuata yao, kama yanga na simba tu
 
Mlango tu wa kujustify failure za treni kuzimikazimika hovyo, wanajua watanzania ni viazi so wakizua vidrama vidogovidogo kama hivi watasahau na kufuata yao, kama yanga na simba tu. Mradi wa matrilioni uhujumiwe na hicho kimzigo cha kilo 5? Pathetic
 
Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Yote ni maovu tu. ila huwezi kuvilinganisha.ukasema ni sawa kung'oa nyaya za umeme wa kuendeshea treni kwa sababu watawala wanaiba hela za uma hawakamatwi utakuwa umepotoka pakubwa.ukiambiwa ulete ushahidi huo wa kikwete kuibia nchi gesi unao? Nadhani hii ni kujaribu kupunguza makali ya taarifa ya uharifu.Huwezi kusema kibaka anayeiba kuku aachwe kwa sababu kuna wanasiasa wanaoiba mabilioni hawakamatwi.Hayo ni mawazo ya kipuuzi.kila uhalifu lazima ushughulikiwe kikamilifu.Unaweza usifahamu anayehujumu reli anakuhujumu wewe binafsi,sababu hela zile ni kodi ya wananchi.serikali imekopa ila tunalipa sisi wanachi wote.ilmradi kuna kitu chochote unanua,basi huko ndanu kuna kodi inayotumika kulipia mkopo wa ujenzi wa SGR.
 
Kama polisi wa Msimbazi waliwahi kuiba mishahara yao pale kituoni, hata hao wezi watakuwa ni wafanyakazi wenyewe wa shirika la reli.Ni vigumu kibaka wa mtaani asiyejua mambo ya umeme aingie kukata nyaya za umeme.
 
Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687

Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687View attachment 3148688
Watu kama hawa ikidhibitishwa ndo wa kutekwa asubuhi tena mbele za watu na hakuna atakayelalamika.
 
CCM inawanyima wananchi elimu Bora ili wajinga wawe wengi na waendelee kuwatawala siku zote.

Mwisho wa siku wanaleta miradi ya gharama kubwa katikat ya kundi la watu wajinga wasiostarabika matokeo yake ndio hayo
 
Kila kitu angekuwepo magufuli,ndio ayupo sasa tunafanyaje??! Mnapenda kuabudu binadamu wenzenu,utadhani Magufuli ndio alipigania uhuru wa hii nchi,

Serikali inafanya kazi kwa utaratibu sio kukurupuka wakateswa hdi wasiohusika,angekuwepo huyo unaemtaja lawama zote angeelekeza kwa wenye mabus bila kufanya uchunguzi
Wewe una wivu. Kuwa mzalendo na wewe ili utetewe hata kama umebaki
Mifupa. Sisi ni watatezi orijino wa Dkt Magufuli, tulimsemea yaliyo mema akiwa hai na sasa akiwa mifupa, alikuwa mzalendo na tunampenda! Pole sana kama ulidhani mukimuua eti umaarufu wake utashuka no no he is more relevant and famous kuliko hata alivyokuwa hai.
 
Kwakuwa naye anakula

Sasa kama ndio urefu wa kamba yake itakuwaje? Maana hana access ya hizo nyingine.

Ethics zetu zimeanguka chini. They are so low. Tunaongea mambo au kufanya kama hakuna kesho. Kila kitu tufanyacho kina consequences zake.
Ni wajibu wetu sote tufanye mambo kama watu responsible na tunaotambua kwamba kuna kesho ya vizazi vyetu.
 
Back
Top Bottom