Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
 
Wizi wa kijinga kama wa hao ni ishara ya kuto staharahika
 
Inatakiwa mfano uoneshwe kwa watu wachache.

Au serikali ipige marufuku vyuma chakavi wakizuia kwa mwaka tu mbona mambo yanakuwa safi

Kingine polisi warekebishe mfumo wa RB uwe nationally kama control number
Usiwaamini hao watu. Wanaweza kutengeneza tukio ili kwa maslahi wanayojua wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…