ray c kariakoo alikuwa na mtaa huyu ...maduka yake, nymba ndio kwishneyanaanza upya. dahhh nampenda huyu dada najisikia vibaya sana kuona anaanza upya
Mwanzo mgumu
Usilinganishe uchafu ule na mgahawa wa jide wewe, acha unafki, hata mastaa wenzie sidhan kama wataenda pale, pako local sana na ni tofauti na level yake ya kistaa
ray c kariakoo alikuwa na mtaa huyu ...maduka yake, nymba ndio kwishney anaanza upya. dahhh nampenda huyu dada najisikia vibaya sana kuona anaanza upya
Binamu...ulitaka iweje na ukizingatia maswahibu yaliyomkuta? Mateja wangapi wanajikomboa kama yeye alivyofanya? Jide aliwahi kuwa teja kwani?
Mpeni hongera yake...kajitahid na anaendelea kujitahidi binamu...tuwe na mawazo chanya wakati mwingine
Binamu...ulitaka iweje na ukizingatia maswahibu yaliyomkuta? Mateja wangapi wanajikomboa kama yeye alivyofanya? Jide aliwahi kuwa teja kwani?
Mpeni hongera yake...kajitahid na anaendelea kujitahidi binamu...tuwe na mawazo chanya wakati mwingine
Poa binamu, ila mmh!! Huo mgahawa hapana kwa kweli utanisamehe bure, ata kama kuporomoka sio huku kwa kweli
Aya kwema lakini uko
Hata Mimi nampongeza kutoka kupigania uhai wake mpaka hapo alipofikia ni mungu tu amesaidia
From hero to zero, kazi anayo ajitahidi kuuza mgawaha masaa 24 atatoka, ila hapana kwa kweli
Hivi mfano Mr.nice Leo hii aanze kurudi kwenye mafanikio kidogo kidogo utaacha kumpongeza kisa aliwahi kupata mafanikio makubwa zamani
Alaaniwe Lord Eyez
kwa kumuangamiza huyu dada,kama alikuwa na maduka k/koo na nyumba ameuza
vyote kwa ajili ya ngada!! Lord Eyez haufai kwenye jamii.
Ray c anaanza
upya....from teja hadi kufikia hapo Mimi ninaona amejitahidi sana .
Mungu amsaidie apande tena km zamani