Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Usilinganishe uchafu ule na mgahawa wa jide wewe, acha unafki, hata mastaa wenzie sidhan kama wataenda pale, pako local sana na ni tofauti na level yake ya kistaa

Usiite uchafu huo warumi, Rayc kajitahidi sana. Hatua aliyofikia na alivyokuwa wakati anakula unga ni jambo la kumpongeza. Isitoshe huo mgahawa hakuuanzisha ili waende mastaa, Target yake ni wanaofata huduma hospitali.

Binadamu uwa tunateleza na kuanguka cha muhimu ukishaanguka ni kuona jinsi ya kuinuka na kusonga mbele bila kuangalia watu watasema nini maana watu wanasema ila maisha ni yako mwenyewe, watu wanaongea ila ukikwama hakuna anaekusaidia sana sana watakucheka hao hao.

Kwa kweli mie nimemkubali sana maana nimeshaishi na kushuudia mateja mpaka wanapoteza uhai kwa kushindwa kupambana kutoka kwenye ayo majanga, na sababu mojawapo ni kufikiria macho ya watu.
 
Hao wanaoponda watuonyeshe asset wanazomiliki. Mara nyingi wanaoponda wenzao maisha yao huwa majanga. Mmmmmh!!

Weww nae utakuwa muhanga wa madawa ya kulevya, poleni, ndo mkome bangi sio chai, chezeya na bado
 
Usiite uchafu huo warumi, Rayc kajitahidi sana. Hatua aliyofikia na alivyokuwa wakati anakula unga ni jambo la kumpongeza. Isitoshe huo mgahawa hakuuanzisha ili waende mastaa, Target yake ni wanaofata huduma hospitali.

Binadamu uwa tunateleza na kuanguka cha muhimu ukishaanguka ni kuona jinsi ya kuinuka na kusonga mbele bila kuangalia watu watasema nini maana watu wanasema ila maisha ni yako mwenyewe, watu wanaongea ila ukikwama hakuna anaekusaidia sana sana watakucheka hao hao.

Kwa kweli mie nimemkubali sana maana nimeshaishi na kushuudia mateja mpaka wanapoteza uhai kwa kushindwa kupambana kutoka kwenye ayo majanga, na sababu mojawapo ni kufikiria macho ya watu.

Imenigusa hii..
 
Usilinganishe uchafu ule na mgahawa wa jide wewe, acha unafki, hata mastaa wenzie sidhan kama wataenda pale, pako local sana na ni tofauti na level yake ya kistaa

Hili ni suala la kibiashara inategemea yeye katarget watu wa namna gani,ndio maana menu yake imejaa misosi ya watu wa hali zote.
Pia unaposema mgahawa wa walevi,sio walevi wote hawana hela.Umekariri
 
Binamu...ulitaka iweje na ukizingatia maswahibu yaliyomkuta? Mateja wangapi wanajikomboa kama yeye alivyofanya? Jide aliwahi kuwa teja kwani?
Mpeni hongera yake...kajitahid na anaendelea kujitahidi binamu...tuwe na mawazo chanya wakati mwingine

Ana wivu huyu! Ameshaambiwa mgahawa ni kwa ajiri ya wagonjwa yeye kakariri ustaa ustaa. Mcdonalds ni mgahawa maarufu dunia nzima maana unahudumia watu wote,wa chini,kati na juu.
Hii ni biashara inategemea katarget watu wa aina gani na sehemu gani,ndio maana ipo mwananyamala hospital.
 
Hao wanaoponda watuonyeshe asset wanazomiliki. Mara nyingi wanaoponda wenzao maisha yao huwa majanga. Mmmmmh!!

Tatizo wabongo wanajifanya wanajua kila kitu,mtu anaponda yeye hajawahi fanya hata biashara ya mapera!! Analinganisha tuu,mbona flani kafanya hivi na vile! Tehe tehe
 
Usilinganishe uchafu ule na mgahawa wa jide wewe, acha unafki, hata mastaa wenzie sidhan kama wataenda pale, pako local sana na ni tofauti na level yake ya kistaa

Kuna kitu mnachanganya bila kujuwa, pale Posta ukianzia YMCA, YWCA na sehemu zingine za wazi kwa ajili ya chakula hakuna menu inayozidi buku 5 na tunakula na MaCEO mulemule kwenye msosi wa bei chee na wenye zile biashara wanapiga pesa ndefu kuliko unavyofikiri.

Pili mtu kama Ray C kama chakula chake kitamu ni lazima atakuwa anapewa tender kwenye sherehe mbalimbali utakuja kushangaa JK anampa mpaka tenda ya kulisha ikulu kwenye dhifa za kitaifa, unadhani baada ya mwaka mmoja ukisikia anajenga hotel utashangaa? Na usisahau ana silaha ya asili pia K yake kulinda maslahi yake.
 
Usiite uchafu huo warumi, Rayc kajitahidi sana. Hatua aliyofikia na alivyokuwa wakati anakula unga ni jambo la kumpongeza. Isitoshe huo mgahawa hakuuanzisha ili waende mastaa, Target yake ni wanaofata huduma hospitali.

Binadamu uwa tunateleza na kuanguka cha muhimu ukishaanguka ni kuona jinsi ya kuinuka na kusonga mbele bila kuangalia watu watasema nini maana watu wanasema ila maisha ni yako mwenyewe, watu wanaongea ila ukikwama hakuna anaekusaidia sana sana watakucheka hao hao.

Kwa kweli mie nimemkubali sana maana nimeshaishi na kushuudia mateja mpaka wanapoteza uhai kwa kushindwa kupambana kutoka kwenye ayo majanga, na sababu mojawapo ni kufikiria macho ya watu.

Nimekukubali matumbo ila avatar inakuangusha.
 
Alaaniwe Lord Eyez kwa kumuangamiza huyu dada,kama alikuwa na maduka k/koo na nyumba ameuza vyote kwa ajili ya ngada!! Lord Eyez haufai kwenye jamii.
Kuna mtaa pembeni ya soko LA kariakoo ukipita palikuwa panaitwa kabisa kwa rayc. Maduka makubwa, nyumba mikocheni, Gari n.k. ndio hivyo shetani alimtumia lord eyes kumaliza. Angekuwa Mdogo sawa ila na umri nap umesonga sana
 
Back
Top Bottom