matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Usilinganishe uchafu ule na mgahawa wa jide wewe, acha unafki, hata mastaa wenzie sidhan kama wataenda pale, pako local sana na ni tofauti na level yake ya kistaa
Usiite uchafu huo warumi, Rayc kajitahidi sana. Hatua aliyofikia na alivyokuwa wakati anakula unga ni jambo la kumpongeza. Isitoshe huo mgahawa hakuuanzisha ili waende mastaa, Target yake ni wanaofata huduma hospitali.
Binadamu uwa tunateleza na kuanguka cha muhimu ukishaanguka ni kuona jinsi ya kuinuka na kusonga mbele bila kuangalia watu watasema nini maana watu wanasema ila maisha ni yako mwenyewe, watu wanaongea ila ukikwama hakuna anaekusaidia sana sana watakucheka hao hao.
Kwa kweli mie nimemkubali sana maana nimeshaishi na kushuudia mateja mpaka wanapoteza uhai kwa kushindwa kupambana kutoka kwenye ayo majanga, na sababu mojawapo ni kufikiria macho ya watu.