Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Mwanzo mgumu

Siyo kwa yeye, ni aibu kwa kweli, hiyo restaurant haina hadhi ata kidogo, au anafikir chakula wanaenda kununua mateja wenzie?

wanaudhi sana hawa mastaa, kipindi anavuta unga watu walimkanya akasema wamuache na maisha yake, sasa ivi kiko wapi? Na mziki ndo kashaacha?
 
Usilinganishe uchafu ule na mgahawa wa jide wewe, acha unafki, hata mastaa wenzie sidhan kama wataenda pale, pako local sana na ni tofauti na level yake ya kistaa

Binamu...ulitaka iweje na ukizingatia maswahibu yaliyomkuta? Mateja wangapi wanajikomboa kama yeye alivyofanya? Jide aliwahi kuwa teja kwani?
Mpeni hongera yake...kajitahid na anaendelea kujitahidi binamu...tuwe na mawazo chanya wakati mwingine
 
attachment.php

Hongera Ray to the C.
 
ray c kariakoo alikuwa na mtaa huyu ...maduka yake, nymba ndio kwishney anaanza upya. dahhh nampenda huyu dada najisikia vibaya sana kuona anaanza upya

Alaaniwe Lord Eyez kwa kumuangamiza huyu dada,kama alikuwa na maduka k/koo na nyumba ameuza vyote kwa ajili ya ngada!! Lord Eyez haufai kwenye jamii.
 
Amethubutu, ni hatua mojawapo kuliko angeona aibu hata kwa hicho alichonacho
 
Binamu...ulitaka iweje na ukizingatia maswahibu yaliyomkuta? Mateja wangapi wanajikomboa kama yeye alivyofanya? Jide aliwahi kuwa teja kwani?
Mpeni hongera yake...kajitahid na anaendelea kujitahidi binamu...tuwe na mawazo chanya wakati mwingine

Hata Mimi nampongeza kutoka kupigania uhai wake mpaka hapo alipofikia ni mungu tu amesaidia
 
Binamu...ulitaka iweje na ukizingatia maswahibu yaliyomkuta? Mateja wangapi wanajikomboa kama yeye alivyofanya? Jide aliwahi kuwa teja kwani?
Mpeni hongera yake...kajitahid na anaendelea kujitahidi binamu...tuwe na mawazo chanya wakati mwingine

Poa binamu, ila mmh!! Huo mgahawa hapana kwa kweli utanisamehe bure, ata kama kuporomoka sio huku kwa kweli

Aya kwema lakini uko
 
Amethubutu, ni hatua mojawapo kuliko angeona aibu hata kwa hicho alichonacho

From hero to zero, kazi anayo ajitahidi kuuza mgawaha masaa 24 atatoka, ila hapana kwa kweli
 
Poa binamu, ila mmh!! Huo mgahawa hapana kwa kweli utanisamehe bure, ata kama kuporomoka sio huku kwa kweli

Aya kwema lakini uko

Mtu alokua anabebwa kwenye bajaji hajitambui. .bado hujaona kapiga hatua binamu?
Huku kwema tu
 
From hero to zero, kazi anayo ajitahidi kuuza mgawaha masaa 24 atatoka, ila hapana kwa kweli

Hivi mfano Mr.nice Leo hii aanze kurudi kwenye mafanikio kidogo kidogo utaacha kumpongeza kisa aliwahi kupata mafanikio makubwa zamani
 
Hivi mfano Mr.nice Leo hii aanze kurudi kwenye mafanikio kidogo kidogo utaacha kumpongeza kisa aliwahi kupata mafanikio makubwa zamani

Siwezi kupongeza wazembe mimi, mbona lady jaydee hajawahi kuanguka? Kwani yeye ni malaika? Hawa wasanii ni wapuuzi sana wanafanya mauchafu yao na anasa sasa ivi wanajifanya nini
 
Mwanzo mzuri Ray C. Mungu atakusaidia kufika unapotaka kufika. Unatakiwa uangalie ulipojikwaa na siyo ulipooangukia.
Alaaniwe Lord Eyez
kwa kumuangamiza huyu dada,kama alikuwa na maduka k/koo na nyumba ameuza
vyote kwa ajili ya ngada!! Lord Eyez haufai kwenye jamii.
 
Ni kweli kbs binafsi nampongeza maana ameanza from zero. Mungu atamsaidia kufikia ndoto zake. Watu kama hawa ni kuwatia moyo na siyo kudiscourage.
Ray c anaanza
upya....from teja hadi kufikia hapo Mimi ninaona amejitahidi sana .
Mungu amsaidie apande tena km zamani
 
Hao wanaoponda watuonyeshe asset wanazomiliki. Mara nyingi wanaoponda wenzao maisha yao huwa majanga. Mmmmmh!!
 
Back
Top Bottom