Mhh inawezekana labda ,aje tuyajenge asiogope avatar.. kuna watu avatar nzuri ila ukiwaona sura kama uchi uliomwagiwa uji wa moto vile
Ndo naziona sasa ivi binamu, yani zimeingia mfululizo notification kama kumi na kitu
Dinazarde muangalie sana Mrembo by Nature, maana anakuja vizur kweli ,yani hili ni jembe nalikubali vibaya mamaye, yani binamu famba yeyote akikuzingua niite tufe na ban wote kama nilivyojitolea kwa Dinazarde, uzur wangu mimi nikikupenda bhaas hata ban ntapata kwa ajili yako, nakukubali sana kamanda yangu.Kuna mtaa pembeni ya soko LA kariakoo ukipita palikuwa panaitwa kabisa kwa rayc. Maduka makubwa, nyumba mikocheni, Gari n.k. ndio hivyo shetani alimtumia lord eyes kumaliza. Angekuwa Mdogo sawa ila na umri nap umesonga sana
Mhh inawezekana labda ,aje tuyajenge asiogope avatar.. kuna watu avatar nzuri ila ukiwaona sura kama uchi uliomwagiwa uji wa moto vile
Yaan nimekusubiri kule mtaa wa pili huji ntakukoaa binamu
Dinazarde muangalie sana Mrembo by Nature, maana anakuja vizur kweli ,yani hili ni jembe nalikubali vibaya mamaye, yani binamu famba yeyote akikuzingua niite tufe na ban wote kama nilivyojitolea kwa Dinazarde, uzur wangu mimi nikikupenda bhaas hata ban ntapata kwa ajili yako, nakukubali sana kamanda yangu.
Ni kweli tatizo umri apa jamani, yule mtu mzima unajua? Mtoto hana wala mchumba kashafel
Hhhhaaaaaaaaaa acha kabisa, si unaona lolowapi kahofia hata kuweka avatar, kama kakuzimikiaa ahirisha tu ana sura mbayaa huyoi atakuharibia ukoo wako aiseee
Yaan nimekusubiri kule mtaa wa pili huji ntakukoaa binamu
Usiite uchafu huo warumi, Rayc kajitahidi sana. Hatua aliyofikia na alivyokuwa wakati anakula unga ni jambo la kumpongeza. Isitoshe huo mgahawa hakuuanzisha ili waende mastaa, Target yake ni wanaofata huduma hospitali.
Binadamu uwa tunateleza na kuanguka cha muhimu ukishaanguka ni kuona jinsi ya kuinuka na kusonga mbele bila kuangalia watu watasema nini maana watu wanasema ila maisha ni yako mwenyewe, watu wanaongea ila ukikwama hakuna anaekusaidia sana sana watakucheka hao hao.
Kwa kweli mie nimemkubali sana maana nimeshaishi na kushuudia mateja mpaka wanapoteza uhai kwa kushindwa kupambana kutoka kwenye ayo majanga, na sababu mojawapo ni kufikiria macho ya watu.
Yani wewe na Mrembo by Nature nawakubali vibya mno ,nyie ni majembe wa ukwee, sasa ukinitema si itakuwa shida, usinifanyie hvyo.
Hahaha usinichekeshe ujue
Mpaka nimemuogopa Mrembo by Nature,binamu naogopa hata kumquote mwenzioo