PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

Kumbe Mushumbushi alikula Kona baada ya ubalozi kuisha ? 😂😂😂😂

Arudi Kwa bimkubwa Sasa
Alikula Kona Muda Mrefuu Sanaaaa Akasepa Zake kwenda Canada na kumuacha Dkt Slaa aendelee kupuyanga kivyake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
We babu yako anaonekanaje?
 
Back
Top Bottom