PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.
Screenshot_20260930-212331_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Kwa upuuzi huu hakuna mwenye akili timamu atakuteua, Magufuli alifariki kitandani akiwa peke yake bila gari, ikulu hata walinzi na hakuvaa suti, yote hayo ndiyo maisha yetu, tatizo lako haukuwahi kuwafahamu au kuwaona wazazi wako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Dah!
Hujafa hujaumbika.
Sijui Padri Kitima anaielewa hiii..
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Dah,
binafsi namtakia afya njema na maisha marefu zaidi mzee slaa :NoGodNo:
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Screenshot_20260523-112653~2.png
 
Wauaji wa Okt29 kutoa pole ni maajabu.
 
Unajua ana miaka mingapi lakini?
 
Omba Mungu Mkuu akufikishe zaidi ya umri wa Dr Slaa ,hadi kufika hapo inabidi apongezwe maana vijana wanakufa chini ya 45.
 
Back
Top Bottom