PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Kila mtu atazeeka hautabaki kama ulivyo ila sijui kama we umbwa utafika hata umri huo.
 
CCM na upendo wapi na wapi!!??
Umeshawahi fikiri Ibilisi Shetani akiwa na upendo inakuwajee!!??
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Hapo anashida gani? Mi naona umri umesonga hakuna cha zaidi.
Tuoneshe picha ya baba yako tulinganishe na Slaa.
 
CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.
Nilishasema wewe ni mgonjwa wa akili, na naendelea kusisitiza hivyo.

Sasa tuwekee na picha ya Emmanuel Nchimbi.

Hii CCM inayokuwa na watu wa aina yako, vichaa namna hii, bado inayo matumaini yoyote kwa waTanzania?

Kawaida huwa sisomi takataka zako; lakini nimeingia tu kutazama hiyo picha; ambayo sioni tatizo lolote juu yake.
Wewe umeamua kuweka tafsiri yako kwa kutumia akili hiyo hiyo ya ukichaa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Wewe nani anakujuwa sasa piga tuu kelele hapa ila mwisho wako ni mmbaya zaidi kama umekusudia kumzalilisha huyo mzee
 
.. na huu ndio mwonekano wa ba mdogo kwa sasa.

20261001_074745.jpg
 
Hapo anashida gani? Mi naona umri umesonga hakuna cha zaidi.
Tuoneshe picha ya baba yako tulinganishe na Slaa.

Baba yake amjulie wapi wakati mimba yake ilipatikana kwenye mikesha ya mbio za mwenge !
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.

Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.

CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Mbona yupo kawaida!
 
Back
Top Bottom