Picha: Huu ndio ujumbe wa Israel ya leo kwa Dunia

Picha: Huu ndio ujumbe wa Israel ya leo kwa Dunia

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,952
Reaction score
8,807
Niaje waungwana

Aisee kuna mambo mengine yanachekesha, na kushangaza sana. Hebu ngoja nikupe mfano halisi hapo chini 👇

Mfano mtu anatoka kwake huko katika wilaya nyingine na kuja kwako straight kwa lengo la kuja kukushambulia na kukuchomea nyumba yako. Kweli ukiwa ndani huna hili, wala lile unashtukia tu jamaa ashafika nyumbani kwako na kuanza kurusha mawe mazito juu ya nyumba yako na kuvunja vunja madirisha yako, huku mkononi akiwa na dumu la mafuta ya petrol na kibiriti.

Wakati huo wewe ndani una mshale wako ambao huutumia kuwindia vitoweo vyako. Sasa baada ya kuona tukio hilo la kuvamiwa nyumbani kwako linaenda kuondoka na uhai wako, unaamua kuuchukua ule mshale kuutumia dhidi ya huyo adui anaetaka kukuuwia nyumbani kwako.

Unapiga mishale bila kupumzika na kumjeruhi jeruhi vibaya jamaa aliekuja kukushambulia kwako. Baadae mshambuliaji anazidiwa na kuanza kutoa taarifa kwa majirani kwamba wewe ulimshambulia na mishale hadi kumsababishia majeraha makubwa mwilini. Sasa baadae majirani wakimpuuza kwa sababu yeye ndio aliekuwa na nia ya kuja kukushambulia watakuwa wamekosea?

Huu mfano niliotoa hapo unafananana na kile kinachofanywa na Israel now. Ni yenyewe ndio iliyokwenda kuvamia Lebanon. Sasa Lebanon imewawekea mtego na kuwaangamiza kabla hawajaleta madhara makubwa, halaf hao hao wavamizi tena ( Israel ) wanakuja mwenye mitandao ya kijamii na wengine kupelekea malalamiko kwenye jumuiya ya kimataifa kwamba wanashambuliwa.

Sasa unajiuliza kama hawataki kushambuliwa kwanini hawataki kwenye ardhi ya wenzao?

Wanafanya nini kwa wenzao kama sio kutafuta kufa afu waje kulalamika mitandaoni?

Ndiomaana EU wameamua kuwachana kweli kwamba waisrael ni makatili, manyama na majitu yenye roho mbaya kama makaburu ya Afrika Kusini.

Leo hii kweli Israel ni ya kuja kulalamika mitandaoni kweli? Hii si aibu na fedheha!
 

Attachments

  • Screenshot_20260619-154749.png
    Screenshot_20260619-154749.png
    333 KB · Views: 21
Hawa ndio wajinga walidanganywa kuwa walipiga sijui nchi 4 za kiarabu na wengine wakaenda kuokoa mateka Uganda?

Sasa mbona kikundi cha watu wasiozidi elf 20 kinawatoa kamasi na kuja kulia lia humu mitandaoni ili waonewe huruma na kutumiwa silaha za bure na wazungu!

Bahati wazungu washashtuka na kuamua kuacha kutoa msaada kwa wahalifu, mashetani na wauaji.
 

Attachments

  • FB_IMG_1781832802384.jpg
    FB_IMG_1781832802384.jpg
    191.1 KB · Views: 20
bas wewe ni mgeni na mazayuni mkuu , hio ndio mbinu yao miaka nenda rudi wakitaka kukubomoa kinomanoma wanakuwekea mtego uwabomoe na duniq nzima ikuone umewabomoa ili ukitwangwq kisawasawa dunia iseme mtoto aliutaka
Hizo ni dalili za maumivu na mbinu ya kuomba silaha kijanja. Inajulikana wazi haina uwezo wa kutengeneza silaha.

Kwa mujibu wa Trump na vice president wake ni kwamba robo 3 ya silaha anazotumia Israel zinatoka Marekani. Sasa kutokana na mvutano uliyopo kati ya Marekani na Israel, inabidi tu Netanyahu aanze kulia lia mitandaoni ili seneti liwaonee huruma na kuibembeleza serikali iwasaidie.
 
Hawa ndio wajinga walidanganywa kuwa walipiga sijui nchi 4 za kiarabu na wengine wakaenda kuokoa mateka Uganda?

Sasa mbona kikundi cha watu wasiozidi elf 20 kinawatoa kamasi na kuja kulia lia humu mitandaoni ili waonewe huruma na kutumiwa silaha za bure na wazungu!

Bahati wazungu washashtuka na kuamua kuacha kutoa msaada kwa wahalifu, mashetani na wauaji.
Ndugu wazungu wanafiki sio wakuwamini kabisa haswa yule France na Muingereza pia Mjerumani wanajida wako against Israel kumbe wanamsaidia.
 
bas wewe ni mgeni na mazayuni mkuu , hio ndio mbinu yao miaka nenda rudi wakitaka kukubomoa kinomanoma wanakuwekea mtego uwabomoe na duniq nzima ikuone umewabomoa ili ukitwangwq kisawasawa dunia iseme mtoto aliutaka
Kwahiyo Hitler kuwachinja million 6 ilikua mtego? Kwanini mnapenda kuwa overrate wayahudi sana? They are nothing
 
Kwahiyo Hitler kuwachinja million 6 ilikua mtego? Kwanini mnapenda kuwa overrate wayahudi sana? They are nothing
imagine zanzibar i terrorize afrika nzima alafu tuseme iko overrated
 
Ukishindwa ya nchi yako .Ukawaza ya watu basi kama sio kichaa wewe ni mwenda wazimu wa CCM
 
Wazayuni wanapenda vita, ardhi, kuuwa, kunyanyasa na hata kutesa!
Wagomvi hatarii! Wakizidiwa kelele zake mpaka Pluto utazisikia!
Eti tunashambilia kabla ya kushambuliwa!
Very childish and naive...
 
Back
Top Bottom