Picha: Huu ndio ujumbe wa Israel ya leo kwa Dunia

Zayuni anakandwa bibi Nyau nae bila shaka atapoteza kwenye uchaguzi wa October pengine hapo mashariki ya kati patatulia
Netanyahu October ataangukia pua, na Trump kwenye uchaguzi wa kati kati ya muhula yeye na chama chake wataangukia mgongo, kisha wamtimulie mbali
 
Were haikushangazi nchi iliyoziwadia ukubwa na Kigamboni ipo vitani tangu miaka ya sitini na haijawahi kushindwa?
 
imagine zanzibar i terrorize afrika nzima alafu tuseme iko overrated
Kama inahongwa silaha na nchi za magharibi kama inavyohongwa Israel inaweza.

Wewe hauoni jinsi M23 ilivyokuwa inazihenyesha nchi mbali mbali zilizoenda kupambana nayo?
 
Ukishindwa ya nchi yako .Ukawaza ya watu basi kama sio kichaa wewe ni mwenda wazimu wa CCM
Wewe bwege hebu usinipangie thread za kuandika kwani mimi sio mume wako na wala situmii bando lako.

Kama hayo mambo ya nchi yako yana umuhimu basi yaandike wewe.
 
Nia ya kobazi ni kuwasafisha wayahudi katika hii dunia, mngekuwa mnaweza Israel isingekuwepo
 
Wewe bwege hebu usinipangie thread za kuandika kwani mimi sio mume wako na wala situmii bando lako.

Kama hayo mambo ya nchi yako yana umuhimu basi yaandike wewe.
Mama yako mzazi kukushinda uje kwa mama yangu mimi kama sio wewe anko T mzuri .We ni anko t ndio ccm mumenyimwa haki
 
Wazayuni wanapenda vita, ardhi, kuuwa, kunyanyasa na hata kutesa!
Wagomvi hatarii! Wakizidiwa kelele zake mpaka Pluto utazisikia!
Eti tunashambilia kabla ya kushambuliwa!
Very childish and naive...
Kibaya zaidi wameishika Marekani kama mateka hivyo wanafanya watakalo huko Gaza na Lebanon
 
Nia ya kobazi ni kuwasafisha wayahudi katika hii dunia, mngekuwa mnaweza Israel isingekuwepo
Na nia ya wayahudi ni kuudhalilisha ukristo na kuwadhalilisheni wakristo ili mkome kujipendekeza kwao na kuwaona wao ni bora kuliko nyie
 

Attachments

  • Screenshot_20260621-223531.png
    459.1 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1782073389025.jpg
    26.5 KB · Views: 8
Kibaya zaidi wameishika Marekani kama mateka hivyo wanafanya watakalo huko Gaza na Lebanon
Hilo la Israel kufanya watakalo Gaza na Lebanon kwa sababu ya kuishika Marekani mateka lilifanikiwa zaman kabla ya vita yao na Iran.

Lakin baada ya vita ambayo imeisaidia Iran kuona kasoro zao, plus kumiliki uchumi wa dunia kupitia njia ya Hormuz. Nakuhakikishia kwamb huo ujinga unaenda kuisha soon.
 
Mama yako mzazi kukushinda uje kwa mama yangu mimi kama sio wewe anko T mzuri .We ni anko t ndio ccm mumenyimwa haki
Vijana mnaoliwa vijambio huwa hamna mambo ya maana kuandika mitandaoni. Kazi yenu ni kurukia rukia thread za watu au comment ili mpate wa kwenda kuwakuna chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…