PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini?

.haviwashi
.haviumi

Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?View attachment 2939063
Neda hospital mkuu usichukue ushauri humu,hicho ni kitu serious mahali serious. Naogopa zaidi kusikia haviumi wala kuwasha.kitu chochote kisicho cha kawaida mwilini halafu hakina maumivu huwa ni hatari zaidi kuliko kinachouma
 
Genital herpes Hio, ukaenda hospital Kuna dawa wanakupa kui control, hivi vipele vitapotea na kurudi tena hata baada ya mwaka, kiufupi genital herpes Haina Tiba ya kuimaliza kabisa, ukishapata utaishia nayo mpaka ufe, ila vipele hivyo vitakua vinatokea na kupotea
 
Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini?

.haviwashi
.haviumi

Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?View attachment 2939063

Hii inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na majimaji kutoka kwa mwanamke mwenye haya maambukizi after unprotected sex

Unaweza kutumia condoms Ila WAKATI wa kuivua ukajigusa na majimaji ya mwanamke jua unao..

Na upo very active upo very fasta mkuu yaani ukigusa imo 😊

Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..

Hakuna haja ya other strong antibiotics
 
Dah kwa haya mapele sitaki tena demu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…