PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

View attachment 2939159
Hii inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na majimaji kutoka kwa mwanamke mwenye haya maambukizi after unprotected sex

Unaweza kutumia condoms Ila WAKATI wa kuivua ukajigusa na majimaji ya mwanamke jua unao..

Na upo very active upo very fasta mkuu yaani ukigusa imo 😊

Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..

Hakuna haja ya other strong antibiotics
Kaka hayo mapicha vipi tena 😄, dah acha niendelee kuwa single
 
Back
Top Bottom