PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

Huu ugonjwa ni treatable lakini Sio curable

Hii Ina maana Kuna dawa za kuweza ku manage tatizo na kufanya hivo vipele vipotee kwa muda(treatable)

Lakini hakuna cure( dawa ya kufanya Hili tatizo liondoke Moja kwa Moja) japokua Kuna research zinaendelea ila hawajafanikiwa bado
Duh!
 
View attachment 2939159
Hii inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na majimaji kutoka kwa mwanamke mwenye haya maambukizi after unprotected sex

Unaweza kutumia condoms Ila WAKATI wa kuivua ukajigusa na majimaji ya mwanamke jua unao..

Na upo very active upo very fasta mkuu yaani ukigusa imo 😊

Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..

Hakuna haja ya other strong antibiotics
Hawa ni virus inakuwaje dawa inayotibu bacteria iwauwe virus
 
View attachment 2939159
Hii inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na majimaji kutoka kwa mwanamke mwenye haya maambukizi after unprotected sex

Unaweza kutumia condoms Ila WAKATI wa kuivua ukajigusa na majimaji ya mwanamke jua unao..

Na upo very active upo very fasta mkuu yaani ukigusa imo 😊

Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..

Hakuna haja ya other strong antibiotics
Hiyo picha ya 6 ni mbunye?
 
Jamani hizo picha zinatisha uwiii😱😱
 
Hili ndio balaa la ngono, watu wanapenda ngono lkn wakiumwa wanatia huruma.
Acheni ngono
 
Back
Top Bottom