PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

View attachment 2939159
Hii inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na majimaji kutoka kwa mwanamke mwenye haya maambukizi after unprotected sex

Unaweza kutumia condoms Ila WAKATI wa kuivua ukajigusa na majimaji ya mwanamke jua unao..

Na upo very active upo very fasta mkuu yaani ukigusa imo 😊

Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..

Hakuna haja ya other strong antibiotics
DR SANTOS herpes zinapona kweli? Mimi navyojua hazina tiba.
 
Neda hospital mkuu usichukue ushauri humu,hicho ni kitu serious mahali serious. Naogopa zaidi kusikia haviumi wala kuwasha.kitu chochote kisicho cha kawaida mwilini halafu hakina maumivu huwa ni hatari zaidi kuliko kinachouma
🤣🤣🤣 ni kama vile umeenda porini ukakuta maji ya mto au bwawa yametulia tuli/yametuama? Hayo maji ni hatari unaweza kuta yana viumbe hatari kuliko maji ya bwawa au mto yanayotililika..

Huyo jamaa asichukulie poa kuwa mbona haviumi ni hatari sana bora angekua anapata maumivu
 
Back
Top Bottom