Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Sina malaria kabisa juzi kati hapa nilienda mahali kulikuwa na Kikao tukaletewa nyama pori na chipsi, nilipokula kurudi home nasikia kutapika na joto la miwili liko juu ndani hakulaliki hata feni ilikuwa inanietea changamoto nikaamua kulala nje mpaka saa 8 usiku kuingia ndani Wacha nitapike na kuhara kesho yake naenda hospital malaria nikapima hakuna nikapima na stool nikaambiwa ni food poisoning tu.Utakuja kufa vibaya 😀🤣, nyungu ya Mara 1 ndo ikupe protection ya miaka 12 🤓