PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

Yes,
Kuna mambo ambayo mtu mwingine asinge weza yavumilia true Ila wife kawa msaada Sana na Hiki kipind ndio tumekua karibu karibu MAANA Mimi Ni ubusy wiki nzima kwa mwaka nzima so ajari imeniweka home 24/7

Leo nilienda clinic kuangalia maendeleo ya mguu wangu naendelea vyema so kuanzia kesho ntaanza mazoezi rasmi ya kusimama na kukanyagia..

For sure nimeingiwa na hofu na woga kwenye haya Maisha WE CARRY LIFE & DEATH...

Ndio naanza kujifunza kutembea Tena
Safi Sana ka ume fikia stage hiyo, ngoja niuze shamb la jirani ili nije kukuona daslam πŸ˜„πŸ€“
 
Kwani huu ni uume?

HIi inaweza Kuwa dermatitis herpetiformis..
au autoimmune blistering disease (pemphigus vulgaris au bellious pemphigoid)

Jaribu kutumia Acycrovir (Tabs na Cream)
Itakusaidia sana
Doctor, mimi nina miezi 3 napata vipels vidogo mikononi vinawasha sana na baadae vilihamia kwenye mapaja, Hospital ya kwanza nilipewa dawa za kuchanganya kwenye mafuta ila zikagoma
Nikaenda Hospital ya pili nikapewa dawa inaitwa lindae scaboma lotion nilivoanza kutumia nikapata nafuu na vipele vya mapajani vikaisha ila tatizo bado hii dawa ikiisha hali inarudi
Je shida ni nini ? Kuna doctor alinipa hint hili tatizo linaambukiza kwa sexual contact lakini mimi wakati nalipata nilikuwa na miezi zaidi ya 6 sina mahusiano
 
Ukipona acha kwenda kwa Malaya wa buku tatu.
Huu ugonjwa wanao Sana Malaya wa vibandani almaarufu wahaya au wale wanaopigws Vita na Chalamila.
Demu anaweza kuhudumia watu Saba hajaenda kuoga Wala kubadilisha shuka kwenye kitanda unategemea Nini mkuu kwa hao watoa hudma.
 
View attachment 2939159
Hii inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na majimaji kutoka kwa mwanamke mwenye haya maambukizi after unprotected sex

Unaweza kutumia condoms Ila WAKATI wa kuivua ukajigusa na majimaji ya mwanamke jua unao..

Na upo very active upo very fasta mkuu yaani ukigusa imo 😊

Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..

Hakuna haja ya other strong antibiotics
sio kweli amna dawa ya herpies
 
Herpes ni bacterial infection?..naona umerecommend antibiotics..nijuavyo mimi herpes ni viral infection.
Antibiotics can usually treat the infection successfully....

Genital herpes is a common sexually transmitted infection (STI)

NB.

Antibiotics,
can cure many STIs caused by bacteria or parasites, such as gonorrhea, syphilis, chlamydia and trichomoniasis. Once you start antibiotic treatment, you need to finish the prescription..

Kwa uchache..
 
Ina onesha huko Daslam mme umwa Sana ugonjwa huuπŸ˜„πŸ€“
Siumwagi magonjwa ya kizembe kama hayo Mimi kwa sababu siendeshwi na mihemko, ugonjwa unaonisumbia mara nyingi ni mafua ambacho hunisababishia kikohozi tu. Nipo makini sana na haya mambo ya Kimasihara tena nimeyapa kisogo kabisa. Namsubiri mwenye ubavu wangu ajitokeze.
 
Siumwagi magonjwa ya kizembe kama hayo Mimi kwa sababu siendeshwi na mihemko, ugonjwa unaonisumbia mara nyingi ni mafua ambacho hunisababishia kikohozi tu. Nipo makini sana na haya mambo ya Kimasihara tena nimeyapa kisogo kabisa. Namsubiri mwenye ubavu wangu ajitokeze.
Kama wewe huna Dem au mke, intelli nina safari ndefu ya kuishi πŸ˜„πŸ€£.

Ila Safi Kama huendeshwi na hype za kichwa chenye mdomo mrefuπŸ€“
 
Back
Top Bottom