Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hizo vipele ndio vilimfanya Chris Brown amtandike mangumi ya uso Rihanna na penzi likaishia halo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo sio uume ni HOGO.Kwani huu ni uume?
Brown alisema Riri kampa gonoHizo vipele ndio vilimfanya Chris Brown amtandike mangumi ya uso Rihanna na penzi likaishia halo
Jopo la madaktari bingwa 🔥🔥🔥🔥🔥😀Huo ni uume? Mbona kama ngozi ya mkono?
Ngoja niite jopo tuweze kusaidiana kwenye hili.
DR Mambo Jambo
Dr Restart
Lucha
DR HAYA LAND
Dr Lizzy
Dr am 4 real PhD
Dr Matola PhD
WAKATI mwingine chats zetu humu jukwaani utu defines tulivyo (watu wa Sina gani) siwezi fanya ivyo wala huo uhuni..utakuja utupe mrejesho humu Jf 😊😊😊😊Kaka Nisije lala stendi😄, Nita kutafuta mpk useme Ume ikosea ikulu🤣
Unakaribia kufa; wahi kanisani ukatubu dhambi zako haraka sanaHivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini?
Haviwashi
Haviumi
Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
View attachment 2939063
Punguza hype basi, Eti 2012 sema huendi kupima ndo maana hujui😄.Mdogo wangu hata hiyo malaria mara ya mwisho nimeugua mwaka 2012 . Labda magonjwa ya tumbo tu hasa hizi food poisoning
Dah mkubwa Nime cheka Sana 🤓🤣Unakaribia kufa; wahi kanisani ukatubu dhambi zako haraka sana
Najua Hilo Kaka, mdogo ako Nina Tabia ya ku tease out kidogo 😄WAKATI mwingine chats zetu humu jukwaani utu defines tulivyo (watu wa Sina gani) siwezi fanya ivyo wala huo uhuni..utakuja utupe mrejesho humu Jf 😊😊😊😊
Jf never boring 🤣Huo ni uume? Mbona kama ngozi ya mkono?
Ngoja niite jopo tuweze kusaidiana kwenye hili.
DR Mambo Jambo
Dr Restart
Lucha
DR HAYA LAND
Dr Lizzy
Dr am 4 real PhD
Dr Matola PhD
Jopo la kihuni😂😂😂Hilo jopo loote limeitwa ila wamekuja na solution moja kwamba ukidindisha vinapasuka 😂
Je Kama huo ubavu wako una ma x kibao ambao bado wanamla?Siumwagi magonjwa ya kizembe kama hayo Mimi kwa sababu siendeshwi na mihemko, ugonjwa unaonisumbia mara nyingi ni mafua ambacho hunisababishia kikohozi tu. Nipo makini sana na haya mambo ya Kimasihara tena nimeyapa kisogo kabisa. Namsubiri mwenye ubavu wangu ajitokeze.
Oya namba etu SI ndo Ile Ile au😄🤓, nataka ukague Nisije kuwa navyo 🤣Nataka niwe namkagua 😃😃😃
Sio hivyo nimeikomesha kabisa kwa sababu Kuna Jamaa mmoja aliniambia enzi hizo za 2012, piga nyungu yaani nichukue majani ya Mwarobaini nijifushe na niliifanya vile, inaua vidudu vyote vya malaria ni inaweka Kinga kwa mujibu wa Jamaa na huwa silalii net hata kama Kuna mbu kama inzi wa ferry mchanaPunguza hype basi, Eti 2012 sema huendi kupima ndo maana hujui😄.
Kaka Mimi Mwaka Jana ninge vuta malaika wangu, Sena ndo hivyo tu.
Kwanza hata sijui huko aliko analiwa na nani , lakini kwa kuwa ana ubavu wangu atauleta tu. 😂😂😂Je Kama huo ubavu wako una ma x kibao ambao bado wanamla?
HakikaGenital herpes Hio, ukaenda hospital Kuna dawa wanakupa kui control, hivi vipele vitapotea na kurudi tena hata baada ya mwaka, kiufupi genital herpes Haina Tiba ya kuimaliza kabisa, ukishapata utaishia nayo mpaka ufe, ila vipele hivyo vitakua vinatokea na kupotea
Utakuja kufa vibaya 😀🤣, nyungu ya Mara 1 ndo ikupe protection ya miaka 12 🤓Sio hivyo nimeikomesha kabisa kwa sababu Kuna Jamaa mmoja aliniambia enzi hizo za 2012, piga nyungu yaani nichukue majani ya Mwarobaini nijifushe na niliifanya vile, inaua vidudu vyote vya malaria ni inaweka Kinga kwa mujibu wa Jamaa na huwa silalii net hata kama Kuna mbu kama inzi wa ferry mchana
Avatar gani hizo 😄😆,Intelligent businessman unazijua avatar Mimi Mwanakijiji ? Nimeipenda nataka nitengeneze logo aisee 😅
Imekaa poa sana.
Huna adabu😂😂😂Oya namba etu SI ndo Ile Ile au😄🤓, nataka ukague Nisije kuwa navyo 🤣