PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

Genital Herpes Ni kweli inaweza kuwa HSV1 au HSV2..
Kweli kabisa..
Na ndo maana Dawa huwa ni moja kwa magonjwa yote yenye aina hii
 
Jopo la watu makini
Ilo jopo Sasa duh πŸ˜€
Kwani huu ni uume?

HIi inaweza Kuwa dermatitis herpetiformis..
au autoimmune blistering disease (pemphigus vulgaris au bellious pemphigoid)

Jaribu kutumia Acycrovir (Tabs na Cream)
Itakusaidia sana
Amesema vimemtoka kwenye uume
 

Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..

Hakuna haja ya other strong antibiotics
Mbona wataalamu mnapingana

Dr Madam
DR Mambo Jambo

Okoeni jahazi mdau anateketea
 
Mbona wataalamu mnapingana

Dr Madam
DR Mambo Jambo

Okoeni jahazi mdau anateketea
Huu ugonjwa ni treatable lakini Sio curable

Hii Ina maana Kuna dawa za kuweza ku manage tatizo na kufanya hivo vipele vipotee kwa muda(treatable)

Lakini hakuna cure( dawa ya kufanya Hili tatizo liondoke Moja kwa Moja) japokua Kuna research zinaendelea ila hawajafanikiwa bado
 
Hua inapona kabisa?nimeona kunamtu hapo juu kasema haviponi
Ukiviwai vinapona kabisa

na huu ugonjwa kwa wanaume ndani ya masaa 48 after condomless sex ama hata condom sex ukigusa Yale majimaji yaan jua IMO

Unatibika Mbona mkuu Ila inabidi ulikimbie ama ulitibu ilo shimo ulilo li naniliu likakupa herpes kabla ya kurudia ku do MAANA kwa wanawake inakua ngumu kujigundua in early stages..
 
Nimeelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…