Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kaka hayo mapicha vipi tena π, dah acha niendelee kuwa singleView attachment 2939159
Hii inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na majimaji kutoka kwa mwanamke mwenye haya maambukizi after unprotected sex
Unaweza kutumia condoms Ila WAKATI wa kuivua ukajigusa na majimaji ya mwanamke jua unao..
Na upo very active upo very fasta mkuu yaani ukigusa imo π
Ukitumia dozi za moja wapo ya hizi doxycycline,tretracycline, cefixime 200mg ama 400mg atapona..
Hakuna haja ya other strong antibiotics
Ukhty nawe unavyoπ, au ndo una muulizia jirani π€£Hua inapona kabisa?nimeona kunamtu hapo juu kasema haviponi
Yuko Sahihi Ni Treatable but not curable..
πππKuna mtu wa Tegeta alinyonya uke vikazunguka kama mustahi wa beberu.
Huwezi kwepa utamu wa papuchi a.k.a mbususuDah kwa haya mapele sitaki tena demu
Ni sawaDr. Kwenye hii case kwa uzoefu wako hawezi tumia
ACYCLOVIL 200MG TABS TDS
Naomba uzoefu wako
Herps zoosterHivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini?
Haviwashi
Haviumi
Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
View attachment 2939063
Zinapona ila havitibiki π πOoh sawa
Kaka kwa style hii, Bora Nikae single ππZinapona ila havitibiki π π
Hapana sio zoosterHerps zooster
π πKaka kwa style hii, Bora Nikae single ππ
Kaka hio sura personal, umeme uki katika Halafu tukutane.π π
Hamna jitafutie mmoja hivi mwenye Sura personal kabisa weka ndani ππ
Acha uoga inamaana hata kuanzisha family utaogopa πππKaka kwa style hii, Bora Nikae single ππ
Kaka kwa Sasa sioni suala la familia, since malaika wangu aondoke.Acha uoga inamaana hata kuanzisha family utaogopa πππ
NB.
Kundi hatarishi Ni WANAO JIUZA NA WANUNUZI WAO ( wanunuaji na wauzaji wa NGONO) so ukikwepa huko Mtego utakua safe...
Utaacha kuipiga mbususu, utapata ajali ya gari utakufa, utaacha mbususu utaumwa na mbu unaumwa malaria unakufa.. Ipige mzee, ipige tu. Kufa ni costant K.Kaka kwa style hii, Bora Nikae single ππ
Yuko Sahihi Ni Treatable but not curable..
Kwa sababu unatibika kabisa ila hauponi kabisa..
Oya mwana arsenal siku hizi ume kuwa motivesheni spika π.Utaacha kuipiga mbususu, utapata ajali ya gari utakufa, utaacha mbususu utaumwa na mbu unaumwa malaria unakufa.. Ipige mzee, ipige tu. Kufa ni costant K.
π Siwezi acha mbususu kizembe hivyo, muhimi ni kuchukua tahadhari. Yaani niache utamu wa mbususu, ahh, haiwezekani.Oya mwana arsenal siku hizi ume kuwa motivesheni spika π.
Kaka ngoja tuta ona