Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.
Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.
Wakili meme!
View attachment 3340586
Asiye mwenzetu acha aende:
Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
Madalali, chawa wao na wenye njaa hawawezi kuwa wenzetu.
Mbona ni furaha kuu Kila asiye mwenzetu anaposhusha tanga?
Aina hii ya watu inafahamika kutugharimu mno watu na mission chadema ile.
Tusingewapoteza vipi wapiganaji nguli bila inside jobs?