PICHA: Huwezi kuamini ila Peter Madeleka ndiye alikuwa wakili wa huyu mhanga

PICHA: Huwezi kuamini ila Peter Madeleka ndiye alikuwa wakili wa huyu mhanga

Zamani ili ushinde kesi ilihitaji mbobevu wa sheria mwenye historia ya kushinda kesi nyingi. Siku hizi kesi nyingi ni pesa tu ndio inashinda. Mawakili wengi wa sasa wanachagua upande utakaowapa manufaa. Unaweza kuwa na wakili anasimamia kesi unahisi mko pamoja kumbe anabuy time achukue mpunga upande wa pili.
Well said
 
Mimi sioni sababu ya kumsema sana Madeleka, ameamua yeye kwenda huko, shida iko wapi?

Nani kakwambia bila Madeleka CDM haiwezi kuendelea?
 
Hawa watu sio wa kuonea huruma hata kidogo Wacha Samia awanyoe bila maji ni mashenzi sana!! Kuna Yule malaya wao wa Nairobi ipo siku yake.
Sativa kwa alichopitia anahitajia sana watu wa saikoloji ila ndio hivyo kawahi kushikiwa akili na wanaharakati
 
Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.

Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.

Wakili meme!
View attachment 3340586
Huyu tapeli tu, Njaa mbaya sana
 
Kwani Sativa ni lazima kila kitu akiongelee? Vingine angeviacha vipite. Mtu kama kahama chama na kujiunga kingine muacheni. Ni haki yake yakimshinda ataanza kutapatapa mwenyewe. Kila mtu aachiwe uhuru wake ili mradi hajavunja sheria. Kuna wakati Sativa naye anachemsha.
 
1747814216029.jpeg
 
Inamaana daktari ukimtukana ukienda hospital akupige shindano ya sumu?
Mfano huu hauendani na hicho. Sema hivi, kwa hiyo ukimtukana daktari aweke wazi hadharani matatizo yako!
 
Madeleka ameweka nguvu yake kuji brand kama mpinzani kupitia CDM tofauti na watu kama akina Jon Mrema ambao wamelelewa na chama.

Kumuambia asigombee 2025-30 siyo fair kabisa. Hapa busara kwa akina Tundu ilipotea njia.

Sativa ni bingwa wa matusi, na yeye ndiye aliyeanza kumnanga Wakili Madeleka baada ya kuhamia ACT. HILO jibu alilopewa ANASTAHILI kabisa
Kwa hiyo kazi aliyokuwa akifanya ni kujitengenezea tu mazingira ya kugombea ubunge! Kwa namna ambavyo Chadema inajaribu kujizaa upya, watu aina ya Madeleka hawahitajiki huko. Watu wa aina hiyo ndiyo hao wanaotoka na kuelekea CHAUMMA; watu ambao walikuwa wanatafuta fursa tu. Kwa maoni yangu Chadema inaelekea kutamani kuwa chama cha makabwela; chama cha watu wasiokuwa na tamaa ya vyeo wala madaraka bali wenye agenda ya kulifanyia taifa hili mageuzi na kulitoa kwenye mikono ya wachache na kulirudisha kwenye mikono ya walio wengi ambao ni makabwela. Watu wa aina hiyo hawawazi uchaguzi bali siku zote huwaza mabadiliko. Kwa watu hawa hatua ya kwanza ni makabwela hao kurudisha mamlaka yao ya kuweka watu madarakani kupitia kura zao. Mtu yeyote aliye kinyume na agenda hiyo hajitambui na ni mpumbavu. Bila shaka yoyote, upumbavu huo ndiyo uliomuondoa Mzee Kinana kwenye nafasi yake ccm.
 
Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.

Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.

Wakili meme!
View attachment 3340586
Polisi huwa haachi kuwa Polisi wana vitabia fulani hivi hata wakibadilisha kazi …….,imagine anamuambia mteja aliyekua akimtetea …akifurahia namna washkaji zake [ polisi ] walivyomfanya ..
 
Back
Top Bottom