Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Kabisa nduguBaada ya kutoka Chadema! Hata Lissu akitoka Chadema atanang’wa hivyo
Kabisa nduguBaada ya kutoka Chadema! Hata Lissu akitoka Chadema atanang’wa hivyo
Once a bitch, always a bitchOnce a Cop, always a Cop.
Inamaana daktari ukimtukana ukienda hospital akupige shindano ya sumu?
Mbowe aliitengeneza siasa ya namna hiyo,nae inampitia mule mule 😀Baada ya kutoka Chadema! Hata Lissu akitoka Chadema atanang’wa hivyo
Huyu wakala busara hana kabisa, anaongea kama mlevi, afadhali angekaa kimya kuliko kujibizana na Sativa.Kumbe huyu siyo wakili ni tapeli tupu
Cdm ni imaniBaada ya kutoka Chadema! Hata Lissu akitoka Chadema atanang’wa hivyo
Wakili ana wajibu wa kumtetea yeyote, hata Shetani kama yupo, akikosa wa kumtetea wakili ana wajibu wa kumtetea.Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.
Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.
Wakili meme!
View attachment 3340586
Mbona mnapiga chenga,wekeni wazi,sativa alinyanyaswa kijinsia kipindi alipotekwa?Kwa hiyo huenda jamaa alimwambia ukweli wa "alivyofanywa"Sasa jamaa anamwaga mboga
Ogopa mtu ambaye alishakuwa policeman nchi hii.Kumbe huyu siyo wakili ni tapeli tupu
Mbona hua hamsemi mkianza kumshtukia, Ila mnakuja kusema baada ya kuondoka?Inafahamika kitambo sana, Kule Chadema alistukiwa kitambo sana
Mkuu hapa umehamisha magoli, ungemjibu hoja yake tukafaidika wengiSiyo lazima uchangie hata vitu ambavyo vipo juu ya uwezo wa akili ako
Na sio lazima iwe fedha,,Kila mtu ana bei hapa duniani,na siyo lazima iwe helaHivi ikatokea kweli hao wanaonunua watu wa upinzani wakaja na pesa ndefu halafu uachane na siasa za chama chako au kuwashambulia utakataa? Utakataa ukipigwa kiinua mgongo cha maisha?
Ni kazi ngumu kuikataa pesa ndefu. Na ikumbukwe pesa ndefu inategemea na level ya maisha uliyopo sasa. Siasa ni ajira na siasa ni fursa.
Ila tujue nae ni binadamu,sativa alimuattack sana jana sababu tu wakili mlevi kajiunga act,tuangalie na chanzo pia cha jibu kama hilo
Da kwahiyo Sativa aliliwa kiboga,kumbe ndio maana mda wote sukari ipo juu.Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.
Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.
Wakili meme!
View attachment 3340586
Chukua wewe nafasi iliyoachwa WAZI na Wakili Maseleka ya utetezi wa haki, maana yeye kahamia ACT.Kwahiyo stori zake kujifanya ni mtetezi wa haki ni FEKI.
Inategemea na pesa tu.
Anaweza hata kukuz kwa hao anapita washkaji
Mkuu Benjamini Netanyahu hujatenda haki kwa comment ya ERoni maana ni haki ya mtanzania yeyote kuhama chama na kujiunga na chama anachopenda kwa wakati wake. Au kutokuwa na chama kama sisiBado watanzania hamjui demokrasia na wala hamuwezi kuiishi. Kuhama chama ni haki ya mtanzania yoyote.Siyo lazima uchangie hata vitu ambavyo vipo juu ya uwezo wa akili ako
Sasa kama walimfiiiiiiiiiiiiiiiiikisha kileleni kuna ubaya alichosema!!?Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.
Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.
Wakili meme!
View attachment 3340586
Mkuu Sandinistas povu la nini? Madeleka ameacha nafasi ya wazi, nenda ukaichukue pale CHADEMA kama unadhani ni rahisi kama ulivyoandika hapo.Kwa hiyo kazi aliyokuwa akifanya ni kujitengenezea tu mazingira ya kugombea ubunge! Kwa namna ambavyo Chadema inajaribu kujizaa upya, watu aina ya Madeleka hawahitajiki huko. Watu wa aina hiyo ndiyo hao wanaotoka na kuelekea CHAUMMA; watu ambao walikuwa wanatafuta fursa tu. Kwa maoni yangu Chadema inaelekea kutamani kuwa chama cha makabwela; chama cha watu wasiokuwa na tamaa ya vyeo wala madaraka bali wenye agenda ya kulifanyia taifa hili mageuzi na kulitoa kwenye mikono ya wachache na kulirudisha kwenye mikono ya walio wengi ambao ni makabwela. Watu wa aina hiyo hawawazi uchaguzi bali siku zote huwaza mabadiliko. Kwa watu hawa hatua ya kwanza ni makabwela hao kurudisha mamlaka yao ya kuweka watu madarakani kupitia kura zao. Mtu yeyote aliye kinyume na agenda hiyo hajitambui na ni mpumbavu. Bila shaka yoyote, upumbavu huo ndiyo uliomuondoa Mzee Kinana kwenye nafasi yake ccm.