PICHA: Huwezi kuamini ila Peter Madeleka ndiye alikuwa wakili wa huyu mhanga

PICHA: Huwezi kuamini ila Peter Madeleka ndiye alikuwa wakili wa huyu mhanga

chama cha demokrasia hawataki watu waamue wanachoona bora kwao, chadema ni kikundi cha wahuni tu
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ukitaka niachane na wewe acha kuandika humu, you're nothing but a mere human like me.
Uyo ngese la kichaga anaitwa james delicious hana lolote anatafuta baasha tu .
 
Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.

Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.

Wakili meme!
View attachment 3340586
Kila anayetofautiana na chadomo ni tapeli, kwl siasa hamuiwezi tafuteni kazi nyingine
 
Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.

Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.

Wakili meme!
View attachment 3340586
Kwa upande mmoja ni vizuri watu wa aina hii (uchafu) kujichuja kungali mapema; maanake takataka za aina hii zikiendelea kuwa sehemu ya wapambanaji, kazi ya mapambano itakuwa nzito zaidi.
 
Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.

Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.

Wakili meme!
View attachment 3340586
Hii inaitwa piga nikupige kwenye "goli" la Sativa
 
Madeleka ameweka nguvu yake kuji brand kama mpinzani kupitia CDM tofauti na watu kama akina Jon Mrema ambao wamelelewa na chama.

Kumuambia asigombee 2025-30 siyo fair kabisa. Hapa busara kwa akina Tundu ilipotea njia.

Sativa ni bingwa wa matusi, na yeye ndiye aliyeanza kumnanga Wakili Madeleka baada ya kuhamia ACT. HILO jibu alilopewa ANASTAHILI kabisa
Unatumia "Busara" ya CCM kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea urais? CHADEMA wao walitumia "Busara" tofauti na hiyo; kwa nini wewe unaona ina dosari?

Nina hakika hutaelewa ninacho eleza hapa.
 
Dativa baada ya kuliwa ndio maana kaamua aende ulaya tu wazungu wakamalizie kutoboa exhaust pipe yake
 
Back
Top Bottom